Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.

Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!
 
Ingekuwa kwetu kwa hii ccm ungeona mpaka mwijaku,mrisho poto yupo peku na sasa stive mangwere kuwa mweshimiwa na bendi juu vikiwa picha ya mama zao wazazi
 
Tukiitwa nyani tunalalamika hatupendwi sijui tunabaguliwa,nchi mbili pua na mdomo mnahama hadi bara mnaenda kuongea mambo yanayozihusu nchi zenu kwenye mataifa ya watu?
 
Alishtuka labda mlitaka kumuua, Rais wa Burundi, na Samora Vifo vyao viliichanganya Dunia, Walitunguliwa, yeye aliamua kubaki kwenye maandaki ku okoa uhai wake.

Miafrika hata mimi siiamini.

M siyo Jeshi la kupeleka majeshi ya mataifa 5 kulinda amani, sema kwakuwa miafrika tunapenda ngojera kwenye vitu serious.
Iweje Kagame na M23 miafrika yoote tumuogope?
 
Hakika Tshisekedi ametutia aibu. Dar es Salaam hakuja alikwenda Ujerumani, na Angola hajaenda kaenda Qatar. Katutia aibu kubwa mno!
 
Ni aibu kubwa kwa Kagame kuvuruga amani ya jirani yake. Alipotoka dar aliwatangazia kuwa hakuna wa kumpangia lakufanya.....
 
Angekuja Dar kufanya Nini? Nitajie mgogoro mmoja tu ambao nchi za Africa zimeshawahi kuutatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…