Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

View attachment 3094676
Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani limefanya iwe vigumu kwake kutekeleza 'Mabadiliko ya Kimfumo' aliyoahidi wakati wa kampeni.

Baadhi ya Wabunge wamedai Rais Faye na Waziri Mkuu Ousmane Sonko wamekuwa wakiendesha Serikali na Bunge kwa masilahi yao ya kisiasa. Aidha, Rais Faye amesema Uchaguzi wa Wabunge utafanyika Novemba 17, 2024.

Senegal’s President Bassirou Diomaye Faye dissolved the country’s opposition-led National Assembly on Thursday in a bid to break the tension between the legislature and the executive branch.

In a national address, Faye said snap elections will be conducted on Nov. 17 this year.

“By virtue of the powers conferred on me by Article 87 of the Constitution, and after consulting the Constitutional Council on the right date, the Prime Minister and the President of the National Assembly, on the expediency, I dissolve the National Assembly,” he said.

The move came six months after Faye was elected under an opposition platform.

He said the opposition-dominated legislature had made it hard for him to carry out the “systemic transformation” he promised during campaigns.

He asked voters to give his Patriots of Senegal for Work, Ethics and Fraternity (PASTEF) party a mandate.

The outgoing house, elected in 2022, was dominated by members of former President Macky Sall’s Benno Bokk Yakaar (United in Hope) coalition.

Tension between the executive and the legislature was reported recently after opposition lawmakers cancelled a budget debate and threatened to table a motion to censure the government.

The Benno Bokk Yakaar parliamentary group criticized the dissolution, saying it was aimed at avoiding the submission of a motion to censure the government by the parliamentary majority.

In a statement, the group accused President Faye and Prime Minister Ousmane Sonko of “manipulating institutions to serve their own political interests.”

“This dissolution is a blatant attempt to silence the parliamentary opposition and avoid any democratic debate on the management of the country,” said Abdou Mbow, president of the majority parliamentary group.

ANADOLU/AFP
nchi nyingi za Africa kikwazo kikubwa cha maendeleo ni vyama tawala,mfano Tz kikwazo kikubwa cha maendeleo ni CMM,,Africa Kusini ANC etc
 
Siasa na ukweli ni vitu viwili tofauti ,ni sawa na maji na mafuta. Ukisimama kwenye ukweli utaporomoka tu
 
Rais wa Senegal, Bassirou Faye amevunja bunge la nchi hiyo linaloongozwa na upinzani akifungua njia kwa uchaguzi wa haraka wa wabunge kufanyika ikiwa ni miezi sita baada ya kuchaguliwa kwake.

Ametaja sababu kubwa ya uamuzi huo ni bunge hilo kuvutana na serikali yake, jambo linalokwamisha utendaji wake hasa katika kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.

Uchaguzi mpya utafanyika Novemba 17, 2024, Faye alisema katika hotuba yake kwa njia ya televisheni jana Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo aliwataka wapigakura kukipa chama chake mamlaka ili aweze kutekeleza mageuzi ya kimfumo aliyoahidi.

Wachambuzi wanasema kuwa chama cha siasa cha Rais Faye (PASTEF), kina nafasi kubwa ya kupata wingi wa viti kutokana na umaarufu wake na kiwango chake cha ushindi katika uchaguzi wa rais wa Machi 2024.

Jukwaa la upinzani la Benno Bokk Yaakar likiongozwa na Rais wa zamani, Macky Sall limelaani hatua hiyo wakidai kuwa Faye ameitisha kikao cha bunge chini ya sheria za uongo ili kutangaza kuvunjwa kwa bunge hilo, huku akimshutumu kwa kuvunja sheria.

Rais Faye mwenye umri wa miaka 44, alishinda uchaguzi huo Machi 2024 na kuwa kiongozi wa kuchaguliwa mwenye umri mdogo zaidi barani Afrika, chini ya wiki mbili baada ya kuachiliwa kutoka gerezani.
Snapinsta.app_459546174_1284242079650224_1255200135914143256_n_1080.jpg
 
Wabunge wasiotaka kupelekeshwa 🙂
 
ameshindwa kazi anasingizia Bunge dah 🤣
 
tumwombee kijana huyu. Ila kwa kawaida afrika wale ambao huwa wanaingia kwa nguvu ya umma na kuaminiwa mwisho huwa wanawaangusha wale waliowaamini na kugeuka miungu..
 
Fikiria bunge la nchi yetu, wabunge theluthi 2 watoke Chadema na theluthi Moja watoke Ccm na ccm ndiyo iwe imetoa Rais, patamu hapo.
sasa gentleman,
sasa ukiangalia hata hapa nchini, mathalani Hashimu Rungwe Sipunda kashinda uchaguzi mkuu na amekua Rais na ana wabunge wa3 tu wa chama chake bungeni kuna kitu anaweza kufanya kweli?

hata avunje bunge mara30 hawez kupata wabunge wa kumsaidia kuendesha nchi....
Lazima auende serikali ya umoja wa kitaifa sio kuvunja bunge anaweza akawakosa hata hao watatu alonao....

Faye na Songo wana kiburi mno, walidhani wanapendwa na wananchi kumbe wananchi walimchukia na kuchoka uongozi wa Maki Sali tu...

sasa fuatilia vizuri uchaguzi wa hilo bunge jipya, utagundua hata wale wabunge wachache wa vyama vya Faye na sonko hawarudi bungeni na wale wa kilichokua chama Tawala wanaongezeka na wanakua zaidi ya 98% bungeni, hawatamaliza miaka mitano akina Faye wataondoshwa mamlakani....

suluhisho pekee na muhimu sana ni kuunda serikali ya umoja wa kitaifa pakee na wasonge mbele 🐒
 
Umesomeka.
 
Tatizo Siyo kwamba "Watu waliotokea Upinzani," bali tatizo ni akili mbovu sana miongoni mwa Watu weusi wengi zaidi.

Kama amelivunja Bunge eti kwa sababu 'Bunge hilo linaongozwa na Upinzani ambao wamesababisha mivutano na mhimili wa Serikali.' Je, hali itakuwaje endapo kama Wananchi wa nchi hiyo ya Senegal wataamua Tena kuwachagua Wabunge wengi zaidi kutoka kwenye vyama vya Upinzani na Kisha bunge hilo kuongozwa na Upinzani Tena? Je, atalivunja Tena bunge Hilo? Atalivunja mara ngapi??
Ameshajioanga kuiba na kushinda maana Tume ya uchaguzi iko chini yake
 
View attachment 3094676
Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani limefanya iwe vigumu kwake kutekeleza 'Mabadiliko ya Kimfumo' aliyoahidi wakati wa kampeni.

Baadhi ya Wabunge wamedai Rais Faye na Waziri Mkuu Ousmane Sonko wamekuwa wakiendesha Serikali na Bunge kwa masilahi yao ya kisiasa. Aidha, Rais Faye amesema Uchaguzi wa Wabunge utafanyika Novemba 17, 2024.

Senegal’s President Bassirou Diomaye Faye dissolved the country’s opposition-led National Assembly on Thursday in a bid to break the tension between the legislature and the executive branch.

In a national address, Faye said snap elections will be conducted on Nov. 17 this year.

“By virtue of the powers conferred on me by Article 87 of the Constitution, and after consulting the Constitutional Council on the right date, the Prime Minister and the President of the National Assembly, on the expediency, I dissolve the National Assembly,” he said.

The move came six months after Faye was elected under an opposition platform.

He said the opposition-dominated legislature had made it hard for him to carry out the “systemic transformation” he promised during campaigns.

He asked voters to give his Patriots of Senegal for Work, Ethics and Fraternity (PASTEF) party a mandate.

The outgoing house, elected in 2022, was dominated by members of former President Macky Sall’s Benno Bokk Yakaar (United in Hope) coalition.

Tension between the executive and the legislature was reported recently after opposition lawmakers cancelled a budget debate and threatened to table a motion to censure the government.

The Benno Bokk Yakaar parliamentary group criticized the dissolution, saying it was aimed at avoiding the submission of a motion to censure the government by the parliamentary majority.

In a statement, the group accused President Faye and Prime Minister Ousmane Sonko of “manipulating institutions to serve their own political interests.”

“This dissolution is a blatant attempt to silence the parliamentary opposition and avoid any democratic debate on the management of the country,” said Abdou Mbow, president of the majority parliamentary group.

ANADOLU/AFP
Tatizo liko kwenye Ideology; jamaa anataka kuendekeza siasa za usoshalisti, halafu ni islamist aliyejificha
 
Back
Top Bottom