Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

Wale vidomodomo awalambishe asali. Ubabe hautasaidia.
 
Wale vidomodomo awalambishe asali. Ubabe hautasaidia.
Unafikiri Watu wote waliopo kwenye nchi hiyo ya Senegal ni 'raia misukule' kama ilivyo kwa hapa Tanzania? Wapo baadhi ya watu Siyo rahisi hata kidogo kuweza kuwahonga eti kusudi kuwaziba midomo ili wafumbie macho uovu unaofanywa na Serikali. It is not possible to silence them easily.
 
Demokrasia na maendeleo havikai pamoja. Waafrika tunapoteza sana muda kwenye kupingana wakati wenzetu huwa kitu kimoja kwenye jambo lenye maslahi ya taifa.
 
Wewe unamlaumu huyo jamaa kwa madai yako kuwa ameshindwa kutekeleza aliyoyaahidi, unashindwa kuelewa kushindwa huko kunaanzia bungeni ambako wanamkwamisha.
Mimi huyo rais simkunali, ile siyo kwa hoja za kindezi na kishabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…