Sorry, nilidhani unaniuliza France wamepata faida gani?...Djibouti inapata Dola millioni 30 kila mwaka halafu local economy pia inafaidika kuwepo na maelfu ya Askari na familia zao ambao hununua kwenye Market zao Maduka yao nk.Ndio faida waliopata Djibouti hio
Acha kutoa mifano ya kijingaKuliko kuwafukuza ni kwanini asiwakodishie hizo Base kama ilivyofanya Djibouti? Dola millioni 30 kwa mwaka?
Senegal ni Sovereign Country hizo Base zitumike kumonitor Vikundi vya Kigaidi kwenye Sahel na Human Trafficking kwenye Jangwa la Sahara.Nayo ni akili but at what cost? Nadhani kila nchi ina malengo yake
Ustazi mbona Povu lote hilo?!😆😁Acha kutoa mifano ya kijinga
Djibouti ni mfano wa maana!?Ustazi mbona Povu lote hilo?!😆😁
Mbona hueleweki?!Djibouti ni mfano wa maana!?
Hapa JF tunabadilishana mawazo wewe umekalia Udini tu.Usiwapangie bora awafukuze
Nilipokukoti ulipropose senegal wamkodishe ardhi mfaransa kama djibouti,wapate $30mMbona hueleweki?!
Sasa wewe unachobisha ni nini?!Nilipokukoti ulipropose senegal wamkodishe ardhi mfaransa kama djibouti,wapate $30m
France anataka nini huko west africa mpaka aweke jeshi?!.. miaka yote kaweka jeshi palikua na amani!?Sasa wewe unachobisha ni nini?!
Hapo ni kutawaliwa afu unapozwa kwa barafu, walifanya vizuri sana JWTZ kukufukuza wewe mapema, huna akili kabisa. Unauza nchi kwa Dollar eti million 30 kwa mwaka.Kuliko kuwafukuza ni kwanini asiwakodishie hizo Base kama ilivyofanya Djibouti? Dola millioni 30 kwa mwaka?
Business gani ya majeshi? Umewahi kuona mikataba inayoingiwa kati ya mfano USA au France ikiweka majeshi kwenye nchi ingine ya Kiafrika? Ukanda wote ule wa Sahel kuna vurugu za magaidi na ndiko majeshi ya wazungu yamejaa. Waende kwao tuFair Business inawezekana mbona Djibouti Nchi ndogo ya Wasomali imeweza?!
Dawa ni kuachana na Inferiority Complex na kukaa mezani na kufanya Business kuliko kushinda Mitandaoni kulaumu na kunung'unika kwa mambo ya zamani enzi za Ukoloni.
Ndio maana nimetolea mfano wa Djibouti.Business gani ya majeshi? Umewahi kuona mikataba inayoingiwa kati ya mfano USA
Mbona Djibouti haitawaliwi?!Hapo ni kitawaliwa afu unapozwa kwa barafu, walifanya vizuri sana JWTZ kukufukuza wewe mapema, huna akili kabisa. Unauza nchi kwa Dollar eti million 30 kwa mwaka.
Nisome vizuri katika Comment zangu za hapo awali.France anataka nini huko west africa mpaka aweke jeshi?!.. miaka yote kaweka jeshi palikua na amani!?
Kazi ya jeshi ni kupigana vita. Kulinda mipaka ya nchi na kupambana magaidi. Jeshi LA France lirudi likafanye hayo kwao. Linatengeneza instability huku kwingineNdio maana nimetolea mfano wa Djibouti.
Hawezi kuzuia hizo ndege time zikitaka kushambulia hata nchi rafiki zao, mfano Tanzania awape base US. Afu watake kushambulia Uganda, Tanzania anakuwa hana ubavu wa kuwambia wasipige Uganda, hio inaitwa kutawaliwa indirect 🤣Mbona Djibouti haitawaliwi?!
Acha bangeNisome vizuri katika Comment zangu za hapo awali.