Rais wa Senegal, Bassirou Faye: Ufaransa ifunge kambi zake za kijeshi nchini Senegal. Hii ni nchi huru; hatukubaliani na uwepo wa kambi hizo

Rais wa Senegal, Bassirou Faye: Ufaransa ifunge kambi zake za kijeshi nchini Senegal. Hii ni nchi huru; hatukubaliani na uwepo wa kambi hizo

Ndio faida waliopata Djibouti hio
Sorry, nilidhani unaniuliza France wamepata faida gani?...Djibouti inapata Dola millioni 30 kila mwaka halafu local economy pia inafaidika kuwepo na maelfu ya Askari na familia zao ambao hununua kwenye Market zao Maduka yao nk.

Askari wakilipwa mishahara Bar Nightclubs za Waisilamu wa Djibouti hupata maelfu ya Wateja.
 
Nayo ni akili but at what cost? Nadhani kila nchi ina malengo yake
Senegal ni Sovereign Country hizo Base zitumike kumonitor Vikundi vya Kigaidi kwenye Sahel na Human Trafficking kwenye Jangwa la Sahara.
 
Fair Business inawezekana mbona Djibouti Nchi ndogo ya Wasomali imeweza?!
Dawa ni kuachana na Inferiority Complex na kukaa mezani na kufanya Business kuliko kushinda Mitandaoni kulaumu na kunung'unika kwa mambo ya zamani enzi za Ukoloni.
Business gani ya majeshi? Umewahi kuona mikataba inayoingiwa kati ya mfano USA au France ikiweka majeshi kwenye nchi ingine ya Kiafrika? Ukanda wote ule wa Sahel kuna vurugu za magaidi na ndiko majeshi ya wazungu yamejaa. Waende kwao tu
 
Hapo ni kitawaliwa afu unapozwa kwa barafu, walifanya vizuri sana JWTZ kukufukuza wewe mapema, huna akili kabisa. Unauza nchi kwa Dollar eti million 30 kwa mwaka.
Mbona Djibouti haitawaliwi?!
 
Back
Top Bottom