PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Kazi ipo,
 
Aibu Sana Sana Kijana Huyo Anajitweza Bure
Angeacha Kauli Za Wanasiasa
Zibaki Huko Huko
 
Wachina njooni kwa wingi hizi kumbi kumbi bado zimelala, siku wakija kushtuka mmeinunua nchi nzima alafu mnawafukuza kama waisrael wanavyo wafanyia wapalestina.
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Nani Mchengerwa mkwilima bee
 
Back
Top Bottom