peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.
Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili wajianjae kisaikologia.
Kuna kila dalili mtumishi kulipwa laki sita Za mafao yao Ili Hali wengine wss as na mawazo potovu ya kupokea mamilioni.
Ninajiuliza serikali ya awamu ya tano samia alikuwa makamu wa Rais, akaona watumishi wa vyeti feki wakiondolewa kazini Mbona alipiga kimya Leo kaibuka kivingine?