Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Sasa tuungane wapate chochote Cha kuwasaidia sio kuwatukana na kumtetea yule kuwadi. Ingekuwa ni vizuri tukaungana wakapewa hata yakutosha. Wanasema maisha huwa hayataboriki leo kwa kesho kwako.Hii ni fursa kwa wakubwa watafanya sana malipo hewa ya waliokufa, na majina yao mengine, faida inaenda Kwa muibua hoja na sio wanufaika wa hoja watainlate kwenye nyaraka pia ila wanufaika watapata Pesa Ndoige
Hawa ni wenzetu hatakama walifanya makosa yarekebishwe tuende pamoja. Tusiwaombee wenzetu mabaya kuishi ni baraka za mungu na maisha ni safari ndefu.
Tusiwaombee mabaya mungu anafanyakinyume. Anaefurahia mateso ya mwenzake anasepa na anazikwa na yule aliyekuwa anamwombea mabaya sio ajabu akamchangia hata hela ya geneza.
Haya ni mapito. Hayo makaravati yalianza kujengwa na mkoloni hawakumaliza mpaka leo.