peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Rais ana dhamira njema kwa walioonewa hapo nyuma na Magufuli sasa wewe inakuuma nini mwacheni yeye ndiye Rais, linalokushinda wewe kwa Rais Samia ni jambo dogo, umeelewa we Mmachame gang.Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.
Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili wajianjae kisaikologia.
Kuna kila dalili mtumishi kulipwa laki sita Za mafao yao Ili Hali wengine wss as na mawazo potovu ya kupokea mamilioni.
Ninajiuliza serikali ya awamu ya tano samia alikuwa makamu wa Rais, akaona watumishi wa vyeti feki wakiondolewa kazini Mbona alipiga kimya Leo kaibuka kivingine?
Inakuuma watumishi hao kulipwa wakati wametoa huduma? Eti unasema vyeti feki una hakika wote hao ilikuwa vyeti feki. Kuna madakrari wana degree halali kabisa na wametibu hadi karibia kustaafu halafu waliondolewa tu kisa cheti cha form Iv sio halali. Swali la nsingi la kujiuliza katika utumishi wao hawakutoa huduma?Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.
Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili wajianjae kisaikologia.
Kuna kila dalili mtumishi kulipwa laki sita Za mafao yao Ili Hali wengine wss as na mawazo potovu ya kupokea mamilioni.
Ninajiuliza serikali ya awamu ya tano samia alikuwa makamu wa Rais, akaona watumishi wa vyeti feki wakiondolewa kazini Mbona alipiga kimya Leo kaibuka kivingine?
We ni kilaza tu kama umesikia kuwa watalipwa halafu hukusikia watalipwaje unakuja huku kumuuliza nani wakati umesikia.Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.
Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili wajianjae kisaikologia.
Kuna kila dalili mtumishi kulipwa laki sita Za mafao yao Ili Hali wengine wss as na mawazo potovu ya kupokea mamilioni.
Ninajiuliza serikali ya awamu ya tano samia alikuwa makamu wa Rais, akaona watumishi wa vyeti feki wakiondolewa kazini Mbona alipiga kimya Leo kaibuka kivingine?
Usimjibu maana ni kilaza hata hapa hatakuelewa maana waziri alifafanua vizuri sana ila mleta mada kilazaHaina formula hii
Ni utapata kiasi chako ulichochangia tu i.e 5% kwa wengi
Sio cha mwajiri
Mtumishi alikatwa Tsh 5,000 mwaka 2000 leo unamrudishi fedha ile ile inasema vyeti feki wamelipwa fedha zao.We ni kilaza tu kama umesikia kuwa watalipwa halafu hukusikia watalipwaje unakuja huku kumuuliza nani wakati umesikia.
Kaa chini sikiliza kwa kutulia utajua watalipwa nini
Tatizo watanzania hesabu za fedha ziliwatokaMtumishi alikatwa Tsh 5,000 mwaka 2000 leo unamrudishi fedha ile ile inasema vyeti feki wamelipwa fedha zao.
Dhana hapa ni kurejeshewa alichokatwa, kumbuka pia payee hukatwa baada ya makato ya nssf/psssf hivyo hiyo refund inatakiwa ikatwe kodi maana syo mafao tenaMtumishi alikatwa Tsh 5,000 mwaka 2000 leo unamrudishi fedha ile ile inasema vyeti feki wamelipwa fedha zao.
Nasoma comment zao nashikwa na butwaa Kama vile wanafurahiya maisha kwa wenzao yanapokuwa magumu.Bora kakufa zake.ona ss wanateseka wengi kwa maamuzi ya hajabu
Hii ni fursa kwa wakubwa watafanya sana malipo hewa ya waliokufa, na majina yao mengine, faida inaenda Kwa muibua hoja na sio wanufaika wa hoja watainlate kwenye nyaraka pia ila wanufaika watapata Pesa NdoigeWakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.