Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakuna anayehifia kuvunjwa muungano, kwa sababu,kwa hiyo mnahofia hilo swali likiulizwa litavunja muungano???
Tanzania ya leo, tunajenga taifa lenye nidhamu, ambalo linahitaji waandishi wa habari wenye nidhamu ambao wanapangiwa cha kuuliza. Wandishi wenye nidhamu, watauliza maswali mazuri tuu yenye majibu rahisi ya kufurahisha na kupendeza. Maswali magumu yanayohitaji majibu makini kujibu sintofahamu mbalimbali, hayahitajiki.k
kwanini wasimwache ajibu mwenyewe.Aulizwe tu
He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kilichokuwa kiti cha Zanzibar kule UN.
P
Inasemekana Malinzi alisaidia sana Zanzibar kuingia CAF na akatilia mkazo kupata uanachama wa FIFA.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Itakuwa Mange Kimavihuyo sijui mama cannula ndo nani namsikia sikia
Hapo ndipo huwa nawakumbuka waandishi wa gazeti la Mfanyakazi enzi za mwalimu walikuwa makini na hawajatokea wa kufanana nao hadi leo!Tanzania ya leo, tunajenga taifa lenye nidhamu, ambalo linahitaji waandishi wa habari wenye nidhamu ambao wanapangiwa cha kuuliza. Wandishi wenye nidhamu, watauliza maswali mazuri tuu yenye majibu rahisi ya kufurahisha na kupendeza. Maswali magumu yanayohitaji majibu makini kujibu sintofahamu mbalimbali, hayahitajiki.
P
Nyie waandishi wa habari hamjielewi kabisa au ndio hivyo kuna mapungufu sana katika taaluma na mafunzo yenu.Kwa mawazo yangu hata hii nidhamu na hekima ya kujua kipi cha kuuliza na kwa wakati gani ni mpaka mpangiwe na mtu mwingine mwenye hekima ambaye kasomea uhasibu.Kwa hapo ni vizuri maswali yenu mengi basi mpangiwe au kama ni kwa waandishi wa habari wa Tanzania tu ndio wanatakiwa kupangiwa maswali basi tutakuwa na waandishi wa habari wa ovyo kuliko Nchi zote Duniani.Vyuoni mlisoma nini hivi nyie mpaka sisi wenye taaluma nyingine tuwapangie kazi zenu kwasababu eti hatuamini nidhamu na hekima zenuTanzania ya leo, tunajenga taifa lenye nidhamu, ambalo linahitaji waandishi wa habari wenye nidhamu ambao wanapangiwa cha kuuliza. Wandishi wenye nidhamu, watauliza maswali mazuri tuu yenye majibu rahisi ya kufurahisha na kupendeza. Maswali magumu yanayohitaji majibu makini kujibu sintofahamu mbalimbali, hayahitajiki.
P
Hajui Cannavaro alikuwa nahodha msaidizi wa Taifa stars!Haijui zanzibar kama ipo tz
Sasa hilo ndiyo liwe swali la kwanza kabisa kumuuliza huyo rais wa Fifa.
Na amekuja huku shithole kufanya nini??
Ni yule muigizaji anayeigiza mpaka ugonjwa wake akachangiwa pesa ya matibabu akaenda India kwa matibabu... Shida Ikaja ile mirija ya kuwekewa drip au damu Kuna kakifaa kinaitwa CANNULA alikosea KUKAIGIZA.... Akachomeka ndivyo sivyo akajiselfie akapost hapo ndipo watu wakaanza kumuita mama cannula maana hata mwanafunzi wa nursing hawezi kukoseahuyo sijui mama cannula ndo nani namsikia sikia
Nashukuru mkuu johnthebaptist umeliona hili.
Hivi hii nchi kwa nini siasa imeteka kila kitu?!
Tunaenda wapi johnthebaptist?!