Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakuna anayehifia kuvunjwa muungano, kwa sababu,kwa hiyo mnahofia hilo swali likiulizwa litavunja muungano???
Muungano wetu ulipoundwa, ulidhamiriwa kuwa ni muungano wa milele ndio maana hauna kipengele cha kuvunjwa muungano.
Sio physical binding ya two items such that you can separate them, its a chemical reaction by fusion, two nations zimekuwa fused into one na ikazaliwa new product, hivyo you can't separate the two!.
Wanaepuka kitu kinachoitwa an embarrassing situation kufuatia Fifa kuwa na wanachama kibao ambao sio members wa UN, then why not Zanzibar?!. Hilo swali likiulizwa litatukumbusha issue ya OIC!.
P