Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal, tusidanganyane tafadhari. Wenzetu huwa wanapata habari takriban zote kabla ya kufanya jambo hivo hata ujio wa rais huyo wa FIFA na wajumbe wengine wanakila kitu kuhusu mambo yetu. Nawaomba viongozi wa ZFA watumie nafasi hii kuweka mambo sawa.He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kilichokuwa kiti cha Zanzibar kule UN.
P
Dah! Inashangaza sana. Labda kapata maelekezo toka juu kwa walio muweka hapo kwani sidhani katika Ulimwengu huu pana mtu anaewapangia waandishi wa habari maswali ya kuuliza.Hii ni kweli au uzushi tu?
Mtu mwenye akili mbovu kama hizi eti ndio alichaguliwa kuongoza TFF kweli?
Hii nchi mtu anapopata hata mamlaka ya kuwa mwenyekiti wa familia anadhani ana mamlaka ya kila aina. Ajabu kweli
Yawezekana kaagizwa ahakikishe hilo la kuhusu Zanzibar halizungumzwi na onyo hilohilo huwenda wakawa wamepewa viongozi wa ZFA.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Mkuu,paskal hata wewe unaunga mkono waandishi kupangiwa mambo ya kutouliza?.He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kilichokuwa kiti cha Zanzibar kule UN.
P
Kwani kuna tatizo gani kuacha swali la kijinga likapewa majibu ya kijinga?
Yuko sawa, Hata ningelikuwa ni mimi nisengeliruhusu maswali ya kijinga jinga kama hilo la Zanzibar
Ndo tatizo lao.siasa tuuuukwa hiyo mnahofia hilo swali likiulizwa litavunja muungano???
Sasa nimekuelewa,ila kuna wakati zinashitua sana comment zako.Tanzania ya leo, tunajenga taifa lenye nidhamu, ambalo linahitaji waandishi wa habari wenye nidhamu ambao wanapangiwa cha kuuliza. Wandishi wenye nidhamu, watauliza maswali mazuri tuu yenye majibu rahisi ya kufurahisha na kupendeza. Maswali magumu yanayohitaji majibu makini kujibu sintofahamu mbalimbali, hayahitajiki.
P
Uoga mpaka makatoni.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Mara kibao baba na mama huwa wanagombana chumbani na kununiana, hawaongei, ila akija mgeni, wanazuga, na wanazungumza. Huyo mgeni anaweza kuwa well informed kuwa mmegombana na hamuongei, hivyo akifika, hata kama anajua mmegombana, as long as mnaongea, hawezi kuulizia vipi ule ugomvi?.Pascal, tusidanganyane tafadhari. Wenzetu huwa wanapata habari takriban zote kabla ya kufanya jambo hivo hata ujio wa rais huyo wa FIFA na wajumbe wengine wanakila kitu kuhusu mambo yetu. Nawaomba viongozi wa ZFA watumie nafasi hii kuweka mambo sawa.
Mwanangwa, nachofahamu mie HAKUNA ugomvi kati ya TFF na ZFA (labda uanzishwe na uongozi huu). Viongozi wote wa FAT/TFF walikuwa sambamba na wa ZFA kuhakikisha Zanzibar inakuwa mwanachama kamili wa CAF na FIFA.Mara kibao baba na mama huwa wanagombana chumbani na kununiana, hawaongei, ila akija mgeni, wanazuga, na wanazungumza. Huyo mgeni anaweza kuwa well informed kuwa mmegombana na hamuongei, hivyo akifika, hata kama anajua mmegombana, as long as mnaongea, hawezi kuulizia vipi ule ugomvi?.
Huo ndio ugomvi wa FAT na ZFA, hawataki kabisa mgeni ajue hizi ni nchi mbili tofauti kimichezo!. Zanzibar iliwahi kufanya hivyo kwa kujiunga na OIC, kiliwaka hadi kulazimishwa kujitoa na wafia dini Fulani, kwa hoja kuwa OIC ni Jumuiya ya kisiasa. Kitendo cha Fifa kuiruhusu Zanzibar kuwa member wake ni kuitambua Zanzibar kama nchi, wakati sisi tunaitambua kama mkoa tuu!.
P
Tunaenda mbinguni jombaaNashukuru mkuu johnthebaptist umeliona hili.
Hivi hii nchi kwa nini siasa imeteka kila kitu?!
Tunaenda wapi johnthebaptist?!
Mbingu ipi mwanangu..Tunaenda mbinguni jombaa
Mara kibao baba na mama huwa wanagombana chumbani na kununiana, hawaongei, ila akija mgeni, wanazuga, na wanazungumza. Huyo mgeni anaweza kuwa well informed kuwa mmegombana na hamuongei, hivyo akifika, hata kama anajua mmegombana, as long as mnaongea, hawezi kuulizia vipi ule ugomvi?.
Huo ndio ugomvi wa FAT na ZFA, hawataki kabisa mgeni ajue hizi ni nchi mbili tofauti kimichezo!. Zanzibar iliwahi kufanya hivyo kwa kujiunga na OIC, kiliwaka hadi kulazimishwa kujitoa na wafia dini Fulani, kwa hoja kuwa OIC ni Jumuiya ya kisiasa. Kitendo cha Fifa kuiruhusu Zanzibar kuwa member wake ni kuitambua Zanzibar kama nchi, wakati sisi tunaitambua kama mkoa tuu!.
P
Sasa akimuuliza atafanya nn?Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Mkuu umenichekesha sana eti ni.mjinga mjinga tu. Na ni mjinga kweli. Nimeona Pasco anamtetea kuwa yupo sahihi. Ngoja tupige kimya.Huyu rais wa TFF wakati anachaguliwa nilikuwa nikidhani kuwa atakuwa mtu wa maana kwenye kuendeleza soka la nchi hii ni lakini nimekuja kugundua kuwa naye kumbe ni mjinga mjinga tu
Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!