Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameutaka uongozi wa Klabu ya Yanga kutengua maamuzi ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup.

Karia amesema sababu ambazo Klabu ya Yanga imezitoa kutoshiriki michuano hiyo hazina mshiko yoyote na ameuomba uongozi wa Klabu ya Yanga kubadili maamuzi hayo ndani ya saa 48 zijazo.

Karia ameongeza kuwa vilabu vya Rayon Sports na Gor Mahia ambazo wapo kundi moja na Yanga kwenye michuano ya Caf Confederation Cup wamethibitisha kushiriki Kagame Cup na wao wana michezo kama Yanga.

Klabu ya Yanga Jana iliwasilisha barua ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup kutokana na kubanwa na ratiba ya michuano hiyo kwa mchezo wa tatu wa makundi ya Kombe la Shirikisho.
 
Hivi huwa kunakuwa hakuna kikosi C au D kiende huko?
 
Nakumbusha tu.

Rudi nyuma kuanzia mwaka 1935 mpaka mwaka 2018. Kusanya H2H za hawa wagalatia hasa hasa kwenye vipengele vya

1. nani amefunga mechi nyingi dhidi ya mwenzake.?
2. nani amemfunga mwenzake jumla ya mabao lukuki mwenzake.?

Ukisha kusanya hizo takwimu mpatie mleta uzi aziambatannishe kwenye uzi hapo uu ili tujue nani anamkimbia mwenzake.
 
watk

[/QUOTE watasema unafukua makaburi ya babu zako.
 
Nakumbusha tu.

Rudi nyuma kuanzia mwaka 1935 mpaka mwaka 2018. Kusanya H2H za hawa wagalatia hasa hasa kwenye vipengele vya

1. nani amefunga mechi nyingi dhidi ya mwenzake.?
2. nani amemfunga mwenzake jumla ya mabao lukuki mwenzake.?

Ukisha kusanya hizo takwimu mpatie mleta uzi aziambatannishe kwenye uzi hapo uu ili tujue nani anamkimbia mwenzake.
Tupo ngwe mpya wee gongowazi, hizo takwimu zako kazibandike kwenye ukuta wa nyumba ya akilimali...
 
Nakumbusha tu.

Rudi nyuma kuanzia mwaka 1935 mpaka mwaka 2018. Kusanya H2H za hawa wagalatia hasa hasa kwenye vipengele vya

1. nani amefunga mechi nyingi dhidi ya mwenzake.?
2. nani amemfunga mwenzake jumla ya mabao lukuki mwenzake.?

Ukisha kusanya hizo takwimu mpatie mleta uzi aziambatannishe kwenye uzi hapo uu ili tujue nani anamkimbia mwenzake.
Kama rekodi inakubeba shiriki basi kombe. Unaleta risala ya marehemu hapa ambayo haisaidii kitu kwa wakati huu

Wewe umeumwaga baada ya kuona kundi moja na Mnyama Mkali[emoji3][emoji3]
 
Nakumbusha tu.

Rudi nyuma kuanzia mwaka 1935
2. nani amemfunga mwenzake jumla ya mabao lukuki mwenzake.?

Kwahivyo unataka kukumbushia zile mbao za Kibadeni 6-0, au 5-0, za Okwi na Mafisango ili iweje? Huku sasa ni kutia hasira mkuu[emoji3][emoji3]
 
Hee, kweli Yanga wametekewa! Huu wote uoga wa ri_Simba[emoji13] [emoji13]
 
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameutaka uongozi wa Klabu ya Yanga kutengua maamuzi ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup.

Karia amesema sababu ambazo Klabu ya Yanga imezitoa kutoshiriki michuano hiyo hazina mshiko yoyote na ameuomba uongozi wa Klabu ya Yanga kubadili maamuzi hayo ndani ya saa 48 zijazo.

Karia ameongeza kuwa vilabu vya Rayon Sports na Gor Mahia ambazo wapo kundi moja na Yanga kwenye michuano ya Caf Confederation Cup wamethibitisha kushiriki Kagame Cup na wao wana michezo kama Yanga.

Klabu ya Yanga Jana iliwasilisha barua ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup kutokana na kubanwa na ratiba ya michuano hiyo kwa mchezo wa tatu wa makundi ya Kombe la Shirikisho.
huyu Karia huwa anazijua figisu za hizi timu 2 za kichawi Simba na Yanga?

kama anajipenda akae mbali na siasa za hawa wachawi wawili wanaoroga mpira wetu Tanzania!
 
Hivi ikitokea vyura hawajatengua uamuzi wa kujitoa itakuwaje?
 
Yaani mnyama kangurumia kenya tu jamaa huku wameamua kubeba vyao bado wanayapenda maisha.
 
Yanga ameamua kutoshiriki michuano ya Kagame ili kujinusuru na aibu ya kufungwa tena na Mnyama. Si mnajua ile aibu ya juzi tu taifa bado haijaisha??Kule Okwi pembeni Kichuya mbele pale Bocco/Salamba unadhani Yanga wanahamu tena
 
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameutaka uongozi wa Klabu ya Yanga kutengua maamuzi ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup.

Karia amesema sababu ambazo Klabu ya Yanga imezitoa kutoshiriki michuano hiyo hazina mshiko yoyote na ameuomba uongozi wa Klabu ya Yanga kubadili maamuzi hayo ndani ya saa 48 zijazo.

Karia ameongeza kuwa vilabu vya Rayon Sports na Gor Mahia ambazo wapo kundi moja na Yanga kwenye michuano ya Caf Confederation Cup wamethibitisha kushiriki Kagame Cup na wao wana michezo kama Yanga.

Klabu ya Yanga Jana iliwasilisha barua ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup kutokana na kubanwa na ratiba ya michuano hiyo kwa mchezo wa tatu wa makundi ya Kombe la Shirikisho.
Sababu ya kuandamwa na majeruhi, iko hivyo kwa Wengine pia?
 
Back
Top Bottom