Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

Sababu ya kuandamwa na majeruhi, iko hivyo kwa Wengine pia?
Umesoma vizuri barua ya Yanga na sababu yao ya kujitoa Kagame? Hayo majeruhi wametoka wapi?
 
Huyu Karia ni mshabiki mkubwa wa Simba aache upuuzi Simba mechi zote wanabebwa na marefa
 
Huyu Karia ni mshabiki mkubwa wa Simba aache upuuzi Simba mechi zote wanabebwa na marefa
Mpira unachezwa hadharani, haya eleza namna Simba inabebwa ili kila mmoja afahamu hapa

Yaani kupangwa kundi moja ndo kuibeba Simba?
 
Huyu Karia ni mshabiki mkubwa wa Simba aache upuuzi Simba mechi zote wanabebwa na marefa
N'a huo ndiyo ukweli. Kwani lazima Yanga Wacha Musonye atafute timu nyingine. Mbona hapo nyuma Simba na Yanga hszikwenda South Sudan n'a mashindano yaliendelea bila shida yeyote ? Kama ni fedha za viingilio mmepigia Hesabu tayari, imekula kwenu CECAFA. Tafuteni timu nyingine acheze n'a mjadala ufungwe. Kama adhabu fungia hata maisha Yanga isishiriki mashindano yenu full stop.
 
Mpira unachezwa hadharani, haya eleza namna Simba inabebwa ili kila mmoja afahamu hapa

Yaani kupangwa kundi moja ndo kuibeba Simba?
Kweni lazima Yanga washiriki hilo kombe? Washiposhiriki hayo mashindano hayatafanyika?....Simba nyie nendeni tu kuna timu nyingi tu nzuri kama Gor Mahia mtacheza nazo
 
Kama rekodi inakubeba shiriki basi kombe. Unaleta risala ya marehemu hapa ambayo haisaidii kitu kwa wakati huu

Wewe umeumwaga baada ya kuona kundi moja na Mnyama Mkali[emoji3][emoji3]
Mbona KCC ya Uganda imejitoa na wala sio nongwa..alafu Simba mwaka Jana alikuwa bingwa???si angojee mwakani
 
..alafu Simba mwaka Jana alikuwa bingwa???si angojee mwakani

Kwa hivyo hapo shida ni Simba kushiriki? Je Simba akijitoa uko tayari kushiriki Kagame Cup?
 
kwani kagame bila yanga haifanyiki? kama mlikopa hela ya maandalizi kwa kutegemea mapato ya uwanjani ya yanga basi imekula kwenu,na tutafurahi kama mtatufungia ili mfurahi na roho zenu
 
Nakumbusha tu.

Rudi nyuma kuanzia mwaka 1935 mpaka mwaka 2018. Kusanya H2H za hawa wagalatia hasa hasa kwenye vipengele vya

1. nani amefunga mechi nyingi dhidi ya mwenzake.?
2. nani amemfunga mwenzake jumla ya mabao lukuki mwenzake.?

Ukisha kusanya hizo takwimu mpatie mleta uzi aziambatannishe kwenye uzi hapo uu ili tujue nani anamkimbia mwenzake.
Hizo takwimu za kuhistoriwa hazina mashiko
takwimu za vibukta vya Chupi chupi unatuletea saivi!!
Wewe tokea umezaliwa umeshuhudia Yanga kamfunga Simba mara ngapi!
Uoga wakijinga huo
 
kwani kagame bila yanga haifanyiki? kama mlikopa hela ya maandalizi kwa kutegemea mapato ya uwanjani ya yanga basi imekula kwenu,na tutafurahi kama mtatufungia ili mfurahi na roho zenu
Siimbaaaaaaaaa
hahaha Uoga huoooo
 
Tff wenyewe ndiyo chanzo, miundombinu ya kibongo unapanga timu icheze ndani ya siku 3
 
Ndo hvo tena
IMG-20180609-WA0058.jpg
 
Eti wamebanwa na ratiba, timu haina hata pesa sasa inakuaje busy....bora hata singida
 
Back
Top Bottom