Fitna tayari? Tunaenda FIFA.Taarifa zilizopatikana muda mfupi uliopita ni kuwa Rais wa TFF na Katibu wake wamekamatwa na PCCB kwa kutumia madaraka yao vibaya.
Stay tuned, kwa taarifa zaidi.
Hahahahaah we jamaa umenifanya nicheke kwa sauti ofisini. hahaha ipogolo shikamoo MkuuFitna tayari? Tunaenda FIFA.
Hatofaa ikifikia kufungwa. Lakini kwa anatuhumiwa tuu... siwezi kusema mtu hafai kwa sababu ya tuhuma tu mkuuHili suala linaweza kumpeleka katika "kurekebishwa" gerezani. Sasa hapo bado anafaa?
Bongo uongozi ni kujua Na kusoma tuALLY Mayai unajua alichosoma lkn? nafas ya rais wa Tifutifua unajua cfa zake?au unaropoka ana shule ndogo?
Fitna tayari? Tunaenda FIFA.
Marahaba. Ukaguzi wa 2013 leo ndio majibu yanatoka.Hahahahaah we jamaa umenifanya nicheke kwa sauti ofisini. hahaha ipogolo shikamoo Mkuu
Tayari first warning nshapewa.............. hahahahMarahaba. Ukaguzi wa 2013 leo ndio majibu yanatoka.
Ukaguzi wa 2016/7 utatoka magufuli akiwa rais mstaafu.
Angalia boss asikufukuze mkuu.
Aliyoharibu ni mengi sana kuliko hayo uliyoorodheshaAmejitahidi sana kuendesha soka letu, na ameweza maeneo mengi. Mifano michache tu ni kama program za soka la vijana. Kuwekeza kwa vijana wa u14 na u17 ni faida kubwa sana kwa nchi maana ndio stars ya siku za usoni. Ligi kuu ya wanawake imewezekana chini uongozi wake, tzu17 imeshiriki afcon kwa kiwango kizuri kabisa etc...
Amejaza wahaya TFFIli iweje? ktk ubinadamu hakuna aliyekamilika kama ulivyo wewe au mimi. Jamal ana mapungufu yake pia kama mwanadamu mwingine.
Una ushabiki wa kipuuzi..Si mpaka uthibitishe? Mnashangilia nini? Na hakuna uthbitisho ni figisu tu