Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Waende tu bhana.
Kwanza walitubania point zetu.
Safari hii wao ndo wakaripoti FIFA
Vitambi vinawatoka kwa mapato ya getini na pengine rushwa zimo ndani ya hivyo vitambi.
 
hahahahaha,tulisema humu kuwa jamaa ana faili lake pale upanga tukaitwa watu zengwe,sasa nasikia hata mmoja wa kiongozi wa club kongwe nae faili lake liko tayari
 
Hahahahaah we jamaa umenifanya nicheke kwa sauti ofisini. hahaha ipogolo shikamoo Mkuu
Marahaba. Ukaguzi wa 2013 leo ndio majibu yanatoka.
Ukaguzi wa 2016/7 utatoka magufuli akiwa rais mstaafu.
Angalia boss asikufukuze mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Safi sana TAKUKURU, mtusaidie na kibiti kule kuna watu wanatusumbua
 
Marahaba. Ukaguzi wa 2013 leo ndio majibu yanatoka.
Ukaguzi wa 2016/7 utatoka magufuli akiwa rais mstaafu.
Angalia boss asikufukuze mkuu.
Tayari first warning nshapewa.............. hahahah
 
Amejitahidi sana kuendesha soka letu, na ameweza maeneo mengi. Mifano michache tu ni kama program za soka la vijana. Kuwekeza kwa vijana wa u14 na u17 ni faida kubwa sana kwa nchi maana ndio stars ya siku za usoni. Ligi kuu ya wanawake imewezekana chini uongozi wake, tzu17 imeshiriki afcon kwa kiwango kizuri kabisa etc...
Aliyoharibu ni mengi sana kuliko hayo uliyoorodhesha
 
IMG_7876.PNG
IMG_7877.PNG
IMG_7878.PNG
Si mpaka uthibitishe? Mnashangilia nini? Na hakuna uthbitisho ni figisu tu
Una ushabiki wa kipuuzi..

Tushangilie mimi na nani?, kuna sehemu umeona nashangilia kukamatwa kwa hao ndugu zako?..Unaongea vitu usivyovujua...

Uliiona taarifa ya CAG kuhusu TFF?..
 
Back
Top Bottom