Hii taarifa ni ya uongo ulio dhahiri, Malinzi sio mjinga aanze kuhonga mapema namna hii na wakati hata mchujo wa wagombea haujakamilika wala kampeni kuanza. Kumbukeni wajumbe wanaopiga kura ni wengi wao ni wenyeviti wa mikoa, ni lini wamekuja Dar mpaka waanze kuhongwa na Malinzi? Uchaguzi unafanyika August Malinzi aanze kuhonga leo ana pesa kiasi gani? Kwa taarifa yenu chaguzi hizi rushwa huwa inatembea siku wajumbe wanafika kutoka mikoani na siku ya kupiga kura na sio sasa!

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Jamal Malinzi amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini(TAKUKURU) akiwa katika harakati za kutembeza Mlungula.
Hatimae "Danganya Toto" ya Malinzi sasa imefikia kikomo.
Taarifa zaidi, zitakujia kupitia Uzi huu...
=====
UPDATE:
Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu wa TFF wanashikiliwa katika kituo cha polisi Selander Bridge. Yadaiwa walikuwa wakitoa rushwa kwa Wajumbe watakaopiga kura katika uchaguzi wa TFF.
Mbona leo na katika ' uzi ' huu simwoni Kipenzi Kikubwa wa Rais wa TFF Jamal E. Malinzi humu JF Member aitwae Frank Wanjiru?
Hivi kweli uyu anafaa kuendelea kuwa Rais wa TFF?
Mkuu umemsahau Pdidy.!Sijui kakimbilia wapi?[emoji16][emoji16]
Huko ' Kukamatwa ' tu na TAKUKURU ' technically ' kunaweza kukawa na negative impact kubwa sana Kwake na pengine hata kupelekea Yeye ' Kuanguka ' na kumpisha Yule ambaye Kiukweli ' System ' ndiyo inamtaka japo inawatumia ' Wachezaji ' maarufu wa zamani ili ' Kujificha '. Wanaotakiwa ni Ally Mayai Tembele na Mtemi Ramadhan. Jaribuni kusoma alama za nyakati jamani!
Sijui kakimbilia wapi?[emoji16][emoji16]
Isije ikawa ndiyo Yeye mwenyewe Mkuu. Hizi ID's zetu zina ' Siri ' kubwa sana behind the scene.
Hii kama ni kweli basi Jamali malinzi naye atakuwa ni kilaza kupita kiasi aisee, hivi yeye bado tu hajashtuka kwamba hizi ni zama zingine kabisa. Hapo ukute wazee wa usalama washafanya yao.
Safi sana uyu Mzee afungwe tu hakuna namna.
System ni kina nani hao? Naomba unieleweshe hapo.