Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Hii taarifa ni ya uongo ulio dhahiri, Malinzi sio mjinga aanze kuhonga mapema namna hii na wakati hata mchujo wa wagombea haujakamilika wala kampeni kuanza. Kumbukeni wajumbe wanaopiga kura ni wengi wao ni wenyeviti wa mikoa, ni lini wamekuja Dar mpaka waanze kuhongwa na Malinzi? Uchaguzi unafanyika August Malinzi aanze kuhonga leo ana pesa kiasi gani? Kwa taarifa yenu chaguzi hizi rushwa huwa inatembea siku wajumbe wanafika kutoka mikoani na siku ya kupiga kura na sio sasa!
 
Habari njema kwa wana msimbazi.....

Habari mbaya kwa wana jangwani......

ANGUKO LA YANGA LINAKWENDA SAMBAMBA NA VIBARAKA WAO PALE TIFUA TIFUA.....

KILA MTU ATAVUNA KILE ALICHOKIPANDA....

CELEBRATIONS TIME.....

3cc61aebb95caaaeb270a39314630939.jpg
 
Hii taarifa ni ya uongo ulio dhahiri, Malinzi sio mjinga aanze kuhonga mapema namna hii na wakati hata mchujo wa wagombea haujakamilika wala kampeni kuanza. Kumbukeni wajumbe wanaopiga kura ni wengi wao ni wenyeviti wa mikoa, ni lini wamekuja Dar mpaka waanze kuhongwa na Malinzi? Uchaguzi unafanyika August Malinzi aanze kuhonga leo ana pesa kiasi gani? Kwa taarifa yenu chaguzi hizi rushwa huwa inatembea siku wajumbe wanafika kutoka mikoani na siku ya kupiga kura na sio sasa!

EFM wamethibitisha,Clouds Fm wamethibitisha. Halafu sio kuonga ni kutumia vibaya madaraka yao,walikua wanakula pesa za TFF.
 
Mbona leo na katika ' uzi ' huu simwoni Kipenzi Kikubwa wa Rais wa TFF Jamal E. Malinzi humu JF Member aitwae Frank Wanjiru?
 
Hii taarifa ni ya uongo ulio dhahiri, Malinzi sio mjinga aanze kuhonga mapema namna hii na wakati hata mchujo wa wagombea haujakamilika wala kampeni kuanza. Kumbukeni wajumbe wanaopiga kura ni wengi wao ni wenyeviti wa mikoa, ni lini wamekuja Dar mpaka waanze kuhongwa na Malinzi? Uchaguzi unafanyika August Malinzi aanze kuhonga leo ana pesa kiasi gani? Kwa taarifa yenu chaguzi hizi rushwa huwa inatembea siku wajumbe wanafika kutoka mikoani na siku ya kupiga kura na sio sasa!

Siku nyingine uwe unaficha ' Upopoma ' wako tafadhali sawa? Hivi sisi Watu wote tulioanzisha huu ' uzi ' wa hili ' Sakata ' ni Wendawazimu? Mijitu mingine sijui ipoje!
 
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Jamal Malinzi amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini(TAKUKURU) akiwa katika harakati za kutembeza Mlungula.

Hatimae "Danganya Toto" ya Malinzi sasa imefikia kikomo.

Taarifa zaidi, zitakujia kupitia Uzi huu...

=====
UPDATE:

Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu wa TFF wanashikiliwa katika kituo cha polisi Selander Bridge. Yadaiwa walikuwa wakitoa rushwa kwa Wajumbe watakaopiga kura katika uchaguzi wa TFF.

Safi sana, bado kina Tenga na wenzake. Hawa viongozi wa TFF si viongozi, ni majambazi mno. Wao badala ya kuendeleza soka Tanzania wanakuja kupiga deal kuwaiga kina Mkapa na Kikwete.
 
Malinzi aliwekwa TFF Watoto wa Mjini na wameamua pia kumuondoa sasa!

pia za chini ya Carpet zinasema harakati zake za kutaka kuwania Ubunge kwao 2020 kunamgharimu pamoja na kuwa kwake kwny Team ya Fisadi Msaka urais 2015!

Audit ya kuanzia 2014 imefukuliwa kipindi hiki cha Uchaguzi 2017 tena na Intenal Auditor wa TBL! Ila naskia nae kajipanga sana kutetea kiti chake japo akitoa Mguu basi TAKUKURU wanaweka Kwato zao awe Makini!
 
Hivi kweli uyu anafaa kuendelea kuwa Rais wa TFF?

Huko ' Kukamatwa ' tu na TAKUKURU ' technically ' kunaweza kukawa na negative impact kubwa sana Kwake na pengine hata kupelekea Yeye ' Kuanguka ' na kumpisha Yule ambaye Kiukweli ' System ' ndiyo inamtaka japo inawatumia ' Wachezaji ' maarufu wa zamani ili ' Kujificha '. Wanaotakiwa ni Ally Mayai Tembele na Mtemi Ramadhan. Jaribuni kusoma alama za nyakati jamani!
 
System ni kina nani hao? Naomba unieleweshe hapo.
 
Hii kama ni kweli basi Jamali malinzi naye atakuwa ni kilaza kupita kiasi aisee, hivi yeye bado tu hajashtuka kwamba hizi ni zama zingine kabisa. Hapo ukute wazee wa usalama washafanya yao.

Kikwete aliwalemaza sana hawa wasanii.
 
Back
Top Bottom