Mkali Mapanga
Senior Member
- May 17, 2017
- 100
- 66
Hujui taratibu za mtu kufikishwa mahakamani?Unadhani kupelekwa polisi ndio umemaliza! No!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui taratibu za mtu kufikishwa mahakamani?Unadhani kupelekwa polisi ndio umemaliza! No!
Wenye shule wote ma Dr na ma Prof ndo wanaongoza kwa wizi nchi hii.Tatizo shule zao ndogo mno
Ally Mayai ni afisa wa TRA mwenye Masters,shulw ipi inayoongelewa hapa?Ali mayai kasoma bhana tena ashakuwa rais wa serikali ya wanafunzi pale CBE dsm campus
hapa serikali imeshafanya yake ,alidhani hategeki kashanasaApewe huyo afisa wa TRA.. bila shaka hana Ushabiki wa klabu hizi mbili. Malinzi aliegemea mno upande mmoja.
Ndala Fc mbeleko imekatawatu wakishaonja madaraka kuachia ni kazi sana, si atoke tu keshaboronga
Mkuu.. Yupo kituo cha Salender bridge Chanzo ni EFM radio.Sidhani kama kuna ukweli hapa.....
Kwani wanaenda kupokea wanafunzi?Tatizo shule zao ndogo mno
Mbunge sifa ni kujua kusoma tu na kuandika. Mpira ndio iwe shule?Tatizo shule zao ndogo mno
Cc Frank Wanjiru Pdidy Njoo angalieni hujuma anayo fanywa Malinzi...
Je ikiwa ni kweli utafanyeje?Na jf munataka kuwa waongo kama Facebook kuna Siku muliandika Ally Mayayi ameenguliwa kugombea kiss alianza kampein mapema kumbe si kweli na wewe unatuletea za Malinzi munaona vizuri kuturusha roho,?
Itakuwa..!!Hivi huko TFF kuna hela sana?
Safi sana.Rais wa TFF Jamal Malinzi amekamatwa na TAKUKURU pamoja na Mtendaji wake mwingine.
Source: Efm Sports Headquarters.
Nawasilisha.