Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Na jf munataka kuwa waongo kama Facebook kuna Siku muliandika Ally Mayayi ameenguliwa kugombea kiss alianza kampein mapema kumbe si kweli na wewe unatuletea za Malinzi munaona vizuri kuturusha roho,?
 
Apewe huyo afisa wa TRA.. bila shaka hana Ushabiki wa klabu hizi mbili. Malinzi aliegemea mno upande mmoja.
 
Kwakweli mapapa wakihaya wameitawala TFF kwakipindi kirefu sana , bila hata mafanikio yoyote kwa soka la taifa letu. Sasa tuseme basi.
 
Na jf munataka kuwa waongo kama Facebook kuna Siku muliandika Ally Mayayi ameenguliwa kugombea kiss alianza kampein mapema kumbe si kweli na wewe unatuletea za Malinzi munaona vizuri kuturusha roho,?
Je ikiwa ni kweli utafanyeje?
 
Back
Top Bottom