Rais wa TFF mbona simuelewi

Rais wa TFF mbona simuelewi

Chrizo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
714
Reaction score
792
Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
 
Acha ubaguzi.....kwani utadaji kazi wake ni mbaya? Ndomaana tutabaki nyuma siku zote matope kila jambo duh
Kwani ni uongo sio msomali?
Inamaana wewe unarizishwa na utendaji wa Tff?
 
Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
Hahaha Umenichekesha Sana!Yaani Umezungumza Kitu Ambacho Huwa Najiuliza Huyu Anaongeaje
 
Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
Nilidhani ni Mimi pekeyangu ninaeliona hilo kumbe tuko wengi sijui shida yake iko wapi aisee hawezi kunyoosha kabisa
 
Wallace halafu msomali?

Bado waria wa hivyo hajazaliwa karne hii hahaha
 
Mbona wabonge wengi tu hawajui kiswahili na huyo jamaa tena yeye anakibonga vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom