Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubaguzi.....kwani utadaji kazi wake ni mbaya? Ndomaana tutabaki nyuma siku zote matope kila jambo duhMsomali uyo
Kwani ni uongo sio msomali?Acha ubaguzi.....kwani utadaji kazi wake ni mbaya? Ndomaana tutabaki nyuma siku zote matope kila jambo duh
MpareKwani ni uongo sio msomali?
Inamaana wewe unarizishwa na utendaji wa Tff?
Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta.ok poa mpare.Mpare
Utedaji wake na asiri yake vinahusiana vip?Kwani ni uongo sio msomali?
Inamaana wewe unarizishwa na utendaji wa Tff?
Ok nini wakati mama yake mpare na kazaliwa upareniNimeandika nimefuta nimeandika nimefuta.ok poa mpare.
Inamana umesahau kama uliongelea utendaji wake?Utedaji wake na asiri yake vinahusiana vip?
Nishakwambia "ok" kwahiyo kabila skuizi tunafata kwa mama?Ok nini wakati mama yake mpare na kazaliwa upareni
Hahaha Umenichekesha Sana!Yaani Umezungumza Kitu Ambacho Huwa Najiuliza Huyu AnaongeajeHuyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
Nilidhani ni Mimi pekeyangu ninaeliona hilo kumbe tuko wengi sijui shida yake iko wapi aisee hawezi kunyoosha kabisaHuyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
Angehama chama ndo tungejua kama ni raia au si raia, hiyo kuwa mkurugnzi si uthibitisho wa uraiaKishakuwaMkurugenzi wa Halmashauri
Kwani ni uongo sio msomali?
Inamaana wewe unarizishwa na utendaji wa Tff?
Unakurupuka kama ray model.ngoja niachane na wewe.Kwahiyo usomali wake unakuja baada ya wewe kutoridhishwa na utendaji wake...shame on you