Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu
Kesi hiyo inayosikilizwa chini ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Ndunguru leo inasikilizwa kwa siku ya tatu mfululizo kufuatia mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa
Soma pia GE2025 - Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani
Chanzo: Jambo TV