Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
“Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS
"Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna maduka ya kijiji, au viwanja, ni kagenge ka wazee fulani wamekamata."
"Tunapozungumza CHADEMA, tunazungumza Freedom of Participation, Freedom of Expression, Right of Association (Uhuru wa kushiriki, uhuru wa kujieleza, na haki ya kujumuika)."
"Kwa huku kwetu Bara (Tanganyika), chama cha kweli cha upinzani ni CHADEMA. Mimi napenda kusema ukweli, sipendi kusema uongo."
"Hata chama changu cha NCCR sio cha upinzani... Nenda pale NCCR, mwambie kiongozi yeyote aitishe mkutano kwenye jimbo lako, akipata watu wanne tofauti na familia yake, uje uniambie."
"Zanzibar ni ACT-Wazalendo, huku (Bara) ni CHADEMA."
"Ushahidi ili ujue, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, baada ya CHADEMA kuja (kuruhusiwa mikutano), wote mliona furaha mtandaoni. Kila Mtanzania amefurahi kwamba CHADEMA wamerudi."