PreGE2025 Rais wa TLS Mwabukusi: Kutosaini kanuni za maadili hakuzuii Chama kushiriki Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

IMG_3972.jpeg

Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
 
View attachment 3302784

Wamelikoroga na kanuni zao za mfukoni
 
No Reforms No Election
Ubovu wa Tume ndio sababu ya ujinga huu kuendelea. Haiwezekeni kila siku watu tuliowapa madaraka na mamlaka ya kusimamia nafasi nyeti kutokujua Sheria na Kanuni zinazowaongoza zinataka na kuelekeza nini.

Raisi wetu SSH alisema Katiba ni Kijitabu ilihali mamlaka aliyonayo yanaongozwa nayo.

Watanzania tuamke, tuungane kupinga huu ujinga. Ni laana kuu wachina, waraabu, wazungu wanajichotea mali zetu na dola ipo inasimamia uporaji wa rasilimali zetu.
 
Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.

Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?

Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
 
Nini maana ya kusaini kama sio kuridhia?

Kama unaakili timamu hatua namba moja ya kusema sijaridhia ni kutosaini.

Ila kama ni mpumbavu kama ACT ndio utasaini halafu unaenda mahakani kupinga. Ni mjinga kabisa ndio anaweza kufanya jambo la namna hiyo
 
🔥🔥🔥Mwabukusi Maua yako💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐🌻💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
Bad news vyombo vinavyotakiwa kusimamia sheria, ndio wanavyokiuka na wanafanya makusudi
 
Nini maana ya kusaini kama sio kuridhia?

Kama unaakili timamu hatua namba moja ya kusema sijaridhia ni kutosaini.

Ila kama ni mpumbavu kama ACT ndio utasaini halafu unaenda mahakani kupinga. Ni mjinga kabisa ndio anaweza kufanya jambo la namna hiyo
ACT Wazalendo wanashangaza kabisa.Eti wanaenda mahakamani kupinga kanuni walizosaini kwa hiari yao.
Waliwahi kutishia kujitoa kwenye Serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar.
Mbona hadi sasa wapo.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
Hi gemu kwanza ndo dakika ya 25
 
Hilo jinga litulie ye kasoma chuo gani cha maana? Open University? Jinga kweli
 
Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.

Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?

Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Umeandika Nini! Unajua Sheria yoyote inayo contradict katiba ni kama haipo!
Kushiriki uchaguzi ni Haki ya kikatiba sio kanuni za mtu! Na CHADEMA ni watu ambao ni wananchi na Wana maslahi kwenye nchi hii kama mkurugenzi anavyosimamia maslahi ya Ccm! Au kwako maslahi ni dhambi au ni kosa
 
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania

12 March 2025

VYAMA RAFIKI NA CHAMA DOLA

Vyama rafiki 16 vya chama dola kongwe tawala na CCM vimeingia katika makubaliano haramu kukitupa nje ya uchaguzi mkuu wa 2025, chama kikuu cha upinzani CHADEMA taarifa za wananchi wa Tanzania zinasema.
1744543954077.jpeg

MAONI YA WADAU

31 March 2025
Pia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limeiomba Serikali kufanyia kazi dosari zilizojitokeza katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024, huku likikemea vitendo vya rushwa na kusisitiza uadilifu kwa wale watakaosimamia Uchaguzi Mkuu 2025.

Hayo yameelezwa leo, Jumatatu, Machi 31, 2025, na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaji Nuhu Mruma, wakati akitoa salamu za BakwataTaifa katika Baraza la Idd linalofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

“Kupitia jukwaa hili, tunaziomba mamlaka za Serikali kuzifanyia kazi dosari zilizoripotiwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita na kusisitiza suala la kutenda haki katika kila hatua ya mchakato wa uchaguzi, kwani haki ndiyo msingi mkuu wa amani.

Tunatoa wito pia kwa vyama vya siasa pamoja na wagombea kuepuka vitendo vya rushwa, kwani rushwa ni adui wa alisema Alhaj Nuhu Mruma.

View: https://m.youtube.com/watch?v=cWbnokWxoq0
 
Back
Top Bottom