PreGE2025 Rais wa TLS Mwabukusi: Kutosaini kanuni za maadili hakuzuii Chama kushiriki Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa nimeamini tunaongozwa na viongozi wajinga wasiojitambua. Wanao waza kuiba kura ili kubaki madarakani kimabavu. CCM imesheheni wasomi wajinga wanaohubiri amani lakini wanaichukia Haki hadharani.

Umeusema ukweli mtupu. Nchi yetu ipo kwenye laana kuu kwa sababu inaongozwa na watu wapuuzi, wanafiki, majizi ya mali na haki za wananchi.

Kwa sasa adui mkubwa wa nchi hii, ni watawala.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
MWABUKUSI THIS IS POSSIBLE IN A FREE/IDEPENDET JUDICIARY. LAKINI HIZI ZA JUMA EXPECT ANYA MAVI FROM THE BENCH
 
Wenzao ACT wazalendo wamesaini na mgombea uraisi wao Zanzibar kachukua fomu kugombea tayari akina Mwabukusi washauri Wanatengeneza tatizo la kisheria halafu wanatafuta solution ya kisheria

Long way to legal freedom ? Why wakati kuna short cut ambayo ni kushaur8 vizuri client awe CHADEMA au yeyote

CHADEMA wangesaini kama wenzao ACT wazalendo wangeumwa Malaria au? ACT WAZALENDO pamoja na grudges zao wamesaini

Kuna mawakili hopeless hutoa ushauri potoshi kwa wateja mara ingine na kuwaletea usumbufu usio na sababu lengo likiwa tu kumla legal fees nyingi mteja

TLS wajitathimini kwenye Annual General Meetings zao kama wanashauri wateja wao vizuri kikiwemo chama cha CHADEMA kama case study
 
Hilo jinga litulie ye kasoma chuo gani cha maana? Open University? Jinga kweli
Mwenzako amesoma akaelimika ndiyo maana licha ya mfumo na ccm nzima kujaribu kumzuia kuwa Rais wa TLS lakini aliwashinda wote.

Unamuita mtu mjinga ambaye ameaminiwa wazi wazi na wanasheria wa nchi hii kwamba anawafaa kwa weledi na taaluma yake aliyonayo.

Unadhani kuongoza TLS ni kama huko kwenye taaluma yenu ambayo hata kilaz,a anaongoza?
 
Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.

Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?

Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Hujaelewa point ya Mwambukusi. Katiba ndiyo inaangaliwa hapo,
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
Mlisema hamtashiriki uchaguzi,mbona mwalia lia,wakati mumezuiwa mazima,si ndio mngefurahi.
 
hili swali niu Zuri sana, linapaswa kuulizwa kwa waalimu wake, hivi ilikuwaje wakampasisha mitihani mtu wa namna yake? Waliimu nao pia wahojiwe maana ndio wanaotulea matatizo yote haya.
Ni mambo ya ajabu,hawa walisema hawataki uchaguzi,No reform,No election,sasa wameondolewa mazima,wanalia lia.
 
Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.

Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?

Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Tume imeundwa na nani, ina wajibishwa vipi ikienda kinyume na katiba? Ukiweza kueleza hilo kwa uhakika ndio utaona tatizo la hiyo tume.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;

"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.

View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.

"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.

Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
kama siyo lazima kusaini kwa nini sasa usisaini
 
Wenzao ACT wazalendo wamesaini na mgombea uraisi wao Zanzibar kachukua fomu kugombea tayari akina Mwabukusi washauri Wanatengeneza tatizo la kisheria halafu wanatafuta solution ya kisheria

Long way to legal freedom ? Why wakati kuna short cut ambayo ni kushaur8 vizuri client awe CHADEMA au yeyote

CHADEMA wangesaini kama wenzao ACT wazalendo wangeumwa Malaria au? ACT WAZALENDO pamoja na grudges zao wamesaini

Kuna mawakili hopeless hutoa ushauri potoshi kwa wateja mara ingine na kuwaletea usumbufu usio na sababu lengo likiwa tu kumla legal fees nyingi mteja

TLS wajitathimini kwenye Annual General Meetings zao kama wanashauri wateja wao vizuri kikiwemo chama cha CHADEMA kama case study
Huu ndio ukweli,huyu kama ni.mwanasheria,angewashauri mapema,wasaini,kuliko baada ya mda kupita.Mkataba wowote una mda wake wa kusaini,hata wa pango la nyumba,mdq ukipita mwenye nyumba aña haki,kupangisha mpangaji mwingine.
 
Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.

Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?

Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Kengemkubwa ,ACHA mamba

wewe ndo hujui kitu , kaa kimya sheria yeyote inayokidhana na sheria kuu , hiyo Sheria inakuwa batili , haiwezekani katiba iseme nishiriki , harafu pawe na sheria ndogo inayokataza
 
Back
Top Bottom