Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wamelikoroga na kanuni zao za mfukoniRais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;
"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.
View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.
"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
😅😅😅Huko CCM Kuna asilimia ndogo sana ya wenye Akili na matumizi sahihi ya Akili .
Na ndio maana wanatengeneza mgogoro kwa kukimbilia mambo ya no reform ni election bila kujua maana yake.Huko CCM Kuna asilimia ndogo sana ya wenye Akili na matumizi sahihi ya Akili .
Sahihi kabisa MkuuuuNa ndio maana wanatengeneza mgogoro kwa kukimbilia mambo ya no reform ni election bila kujua maana yake.
Nini maana ya kusaini kama sio kuridhia?Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.
Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?
Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Bad news vyombo vinavyotakiwa kusimamia sheria, ndio wanavyokiuka na wanafanya makusudiRais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;
"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.
View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.
"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.
Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
ACT Wazalendo wanashangaza kabisa.Eti wanaenda mahakamani kupinga kanuni walizosaini kwa hiari yao.Nini maana ya kusaini kama sio kuridhia?
Kama unaakili timamu hatua namba moja ya kusema sijaridhia ni kutosaini.
Ila kama ni mpumbavu kama ACT ndio utasaini halafu unaenda mahakani kupinga. Ni mjinga kabisa ndio anaweza kufanya jambo la namna hiyo
Hi gemu kwanza ndo dakika ya 25Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;
"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.
View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.
"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.
Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
Hilo jinga litulie ye kasoma chuo gani cha maana? Open University? Jinga kweliRais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa wake wa X Mwabukusi ameandika kusema;
"Sijui hawa wenzetu wanazisomaje hizi sheria, Je ni utofauti wa vyuo? Hakuna sheria inayozuia chama kushiriki uchaguzi kwa kutosaini maadili ya uchaguzi ni tafsiri mbovu ya kukosa logic (maana). Tuache kuharibu Taifa na kuchochea vurugu." ameandika Wakili Mwabukusi.
View attachment 3302784
Mtazamo wa Mwabukusi unashabihiana na mtazamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu ambaye jana Jumamosi amependekeza kwamba chama ambacho hakitasaini kanuni za maadili ya uchaguzi kisizuiwe kushiriki uchaguzi Mkuu kwa kuwa ni haki ya Kikatiba.
"ACT-Wazalendo tuliwasilisha maoni kwamba haki ya chama cha siasa kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba, kusaini (kanuni za maadili) kuwe ni 'commitment' tu peke yake na siyo kukiondolea chama haki ya kushiriki katika uchaguzi" alisema Ado Shaibu.
Soma, Pia: Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania vilisaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu na kulingana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima, Chadema haikufika kusaini kanuni hizo suala ambalo limeelezwa kuwa kutokana na kutosaini kwao wamepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanyika ndani ya miaka mitano 2025/30.
Umeandika Nini! Unajua Sheria yoyote inayo contradict katiba ni kama haipo!Huyu Mwabukusi ni Mwanasiasa aliyeko TLS kwa maslahi ya CHADEMA.
Kama Sheria imeweka utaratibu, na CHADEMA wakatamka wazi "Sitakwenda na sijatateua Mtu wa kwenda kusaini" (MNYIKA). Hata kama Kuna uwezekano kwa kutoa udhuru, CHADEMA watajiteteaje hapo?
Na hata Tume ikiruhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi nje utaratibu, itakuwa imeweka precedent gani hapo?
Jana Aprili 12, Vyama 18 vyenye usajili wa kudumu nchini Tanzania