Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

Mtu mwenyewe kasoma open university.
 
Unataka umpe mtu cheo kwa sababu tu anaongea kile unachotaka kumsikia, TLS imemshinda ndio ataweza kuwa mwanasheria mkuu.
 
ulishasikia chawa kaajiriwa serikalini?
 
Mtu mwenyewe kasoma open university.
So what? Kama sio chuo kifuteni tu mna kila tool! Mmekianzisha wenyewe na kukipa accreditation wenyewe (kama unajua maana yake) so mnaweza kukifuta pia mkitaka. Wanasiasa wa sisemu kila siku wapo pale wanapishana usiku na mchana. Unaonekana hata chuo hujasoma/hujakanyaga nani alikufundisha chuo ni notes na mkaririsho kama wa sekondari?

Kwa kukusaidia chuo ni kituo tu cha masupervisor na walimu/maprofesa ila elimu ipo library kijana wa kudesa, bahati mbaya sana elimu aliondoka nayo mwalimu Nyerere wakabaki madesalisms kama wewe. Mtu anakua competent na professional kwa uwezo na efforts zake binafsi regardless of jina la chuo wala majengo! Msomi wa OUT anaweza kuwa na maarifa kuliko wa UD kwa kuwa wa UD anakesha club na kudesa wakati wa OUT anashinda na kukesha library ya UD chawa! Ni common senses tu kama unazo though...
 
Mtu mwenyewe kasoma open university.
Wewe una elimu ya University gani hapa duniani? Unajua maana ya Open University au unapayuka tu kama debe tupu? Open University ni sawa tu na Vyuo Vikuu vingine.

Natilia shaka ww ni mmoja wa vihiyo wa CCM akina Kasheku Msukuma(MB) class 7 wenye makelele Bungeni kujifanya wanajua kila kitu mpaka wanataka ku-challenge Degree holders na Professors. Nonsense!
 
Watu wenye akili na wenye uthubutu wa kuhoji hawatakiwi katika Jamhuri ya wadanganyika.
Unapo ona giza linakolea jua kunakaribia kucha! Hii habari ya kuitwa Wadanganyika inaenda kukoma. It's just a matter of time.
 
Elimu yake haitoshi,cheo ulichokitaja kikubwa Sana,anaweza kua wakili mzuri sana,ila sheria za kimataifa??inahitaji exposure kubwa Sana..tuanze na CV yake aliposoma na kazi zake kimaifa..

Kushinda kesi za ndani kusikuchanganye
 
Wewe una elimu ya University gani hapa duniani? Unajua maana ya Open University au unapayuka tu kama debe tupu? Open University ni sawa tu na Vyuo Vikuu vingine.

Natilia shaka ww ni mmoja wa vihiyo wa CCM akina Kasheku Msukuma(MB) class 7 wenye makelele Bungeni kujifanya wanajua kila kitu mpaka wanataka ku-challenge Degree holders na Professors. Nonsense!
Sijazungumzia elimu yake, nimezungumzia ufanisi wa uongozi wake Kama rais wa TKS .
Nieleze mpaka Sasa anefanya Nini.
 
Scrap! Chawa pekee ndo hawawezi kuelewa. TLS chini ya Mwabukusi iko var sana. Huyo AG wa sasa ni boya hajui lolote kapewa cheo kwa vile ni Chawa mdudu mchafu!!!
Chawa ni wewe unayekuja na post ya kusifia watu bila kujali ni Chadema au ccm sifa ya chawa ni kuja na vipost Kama hivyo vya kusifiasifia.
Ungekuwa sio chawa ungeniuliza Nini madhaifu yake ningekueleza
 
Back
Top Bottom