900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Fuatilia rank ya open university au unaongea tuMtu mwenyewe kasoma open university.
Fuatilia rank ya open university au unaongea tuMtu mwenyewe kasoma open university.
Kusoma open sio tatizo, acha kuish kwenye majengo na prestige za vyuo. Siku izi it doesnt matter, what matter una nini kichwani, uwezo wa kukitumia ulichokisomeaMtu mwenyewe kasoma open university.
So what? Kama sio chuo kifuteni tu mna kila tool! Mmekianzisha wenyewe na kukipa accreditation wenyewe (kama unajua maana yake) so mnaweza kukifuta pia mkitaka. Wanasiasa wa sisemu kila siku wapo pale wanapishana usiku na mchana. Unaonekana hata chuo hujasoma/hujakanyaga nani alikufundisha chuo ni notes na mkaririsho kama wa sekondari?
Kwa kukusaidia chuo ni kituo tu cha masupervisor na walimu/maprofesa ila elimu ipo library kijana wa kudesa, bahati mbaya sana elimu aliondoka nayo mwalimu Nyerere wakabaki madesalisms kama wewe. Mtu anakua competent na professional kwa uwezo na efforts zake binafsi regardless of jina la chuo wala majengo! Msomi wa OUT anaweza kuwa na maarifa kuliko wa UD kwa kuwa wa UD anakesha club na kudesa wakati wa OUT anashinda na kukesha library ya UD chawa! Ni common senses tu kama unazo though...
NI wajinga kutojua watu wanaosoma Open wanaweza kua compitent kuzidi wa vyuo vingi sana
View: https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3
Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu.
Tafakari kwa kina.
Sure hoja yangu umeielewa vizuriTena most likely kwa sababu wa msomi wa OUT anaisaka elimu kwa nguvu zote ili aweze kushindana na wengi washakua matured wakati wa vyuo vingine vya spoon feeding wanadesa na kukariri past papers, huyu anaweza kuwa anakesha library na youtube na kila source available pamoja na kupata kila lecture anayoweza kuiaccess popote!