Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
View: https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3
Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu.
Tafakari kwa kina.
So what? Kama sio chuo kifuteni tu mna kila tool! Mmekianzisha wenyewe na kukipa accreditation wenyewe (kama unajua maana yake) so mnaweza kukifuta pia mkitaka. Wanasiasa wa sisemu kila siku wapo pale wanapishana usiku na mchana. Unaonekana hata chuo hujasoma/hujakanyaga nani alikufundisha chuo ni notes na mkaririsho kama wa sekondari?Mtu mwenyewe kasoma open university.
Scrap! Chawa pekee ndo hawawezi kuelewa. TLS chini ya Mwabukusi iko var sana. Huyo AG wa sasa ni boya hajui lolote kapewa cheo kwa vile ni Chawa mdudu mchafu!!!Unataka umpe mtu cheo kwa sababu tu anaongea kile unachotaka kumsikia, TLS imemshinda ndio ataweza kuwa mwanasheria mkuu.
Wewe una elimu ya University gani hapa duniani? Unajua maana ya Open University au unapayuka tu kama debe tupu? Open University ni sawa tu na Vyuo Vikuu vingine.Mtu mwenyewe kasoma open university.
Ulitaka AG awe anaropokaropoka ndio ujue anajua? Umesahau msemo wa dbe tupu haliachi kutoka?
View: https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3
Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu.
Tafakari kwa kina.
Hivi nani mropokaji kati ya Mwabukusi na AG wako wa sasa? AG asiyejua maana ya sheria anayesimama Bungeni kuzungumzia Kesi iliyoko Mahakamani!Ulitaka AG awe anaropokaropoka ndio ujue anajua? Umesahau msemo wa dbe tupu haliachi kutoka?
Unapo ona giza linakolea jua kunakaribia kucha! Hii habari ya kuitwa Wadanganyika inaenda kukoma. It's just a matter of time.Watu wenye akili na wenye uthubutu wa kuhoji hawatakiwi katika Jamhuri ya wadanganyika.
Ulitaka asome ckosed university au?Mtu mwenyewe kasoma open university.
Elimu yake haitoshi,cheo ulichokitaja kikubwa Sana,anaweza kua wakili mzuri sana,ila sheria za kimataifa??inahitaji exposure kubwa Sana..tuanze na CV yake aliposoma na kazi zake kimaifa..
Kushinda kesi za ndani kusikuchanganye
Sijazungumzia elimu yake, nimezungumzia ufanisi wa uongozi wake Kama rais wa TKS .Wewe una elimu ya University gani hapa duniani? Unajua maana ya Open University au unapayuka tu kama debe tupu? Open University ni sawa tu na Vyuo Vikuu vingine.
Natilia shaka ww ni mmoja wa vihiyo wa CCM akina Kasheku Msukuma(MB) class 7 wenye makelele Bungeni kujifanya wanajua kila kitu mpaka wanataka ku-challenge Degree holders na Professors. Nonsense!
Chawa ni wewe unayekuja na post ya kusifia watu bila kujali ni Chadema au ccm sifa ya chawa ni kuja na vipost Kama hivyo vya kusifiasifia.Scrap! Chawa pekee ndo hawawezi kuelewa. TLS chini ya Mwabukusi iko var sana. Huyo AG wa sasa ni boya hajui lolote kapewa cheo kwa vile ni Chawa mdudu mchafu!!!
siyo kwa huu utawala wa sisiemu
View: https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3
Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu.
Tafakari kwa kina.