Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

NI wajinga kutojua watu wanaosoma Open wanaweza kua compitent kuzidi wa vyuo vingi sana
 
NI wajinga kutojua watu wanaosoma Open wanaweza kua compitent kuzidi wa vyuo vingi sana

Tena most likely kwa sababu wa msomi wa OUT anaisaka elimu kwa nguvu zote ili aweze kushindana na wengi washakua matured wakati wa vyuo vingine vya spoon feeding wanadesa na kukariri past papers, huyu anaweza kuwa anakesha library na youtube na kila source available pamoja na kupata kila lecture anayoweza kuiaccess popote!
 
Mawakili kama hao hawatakiwi kwenye mifumo ya Nchi zetu atafukuzwa kama alivyoondolewa yule CAG kwa kusema ukweli kuwa pana wizi wa trilllion moja na nusu hapo wanatakiwa wale waliosoma shule kwa kuunga na super glue hata akitumwa akaseme uongo anaenda maana anajua hayupo sawa akitaka asimamie ukweli.
 
Sure hoja yangu umeielewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…