gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hii nchi askari wengiMakelele yote kumbe Mwabukusi nae anabei.
CDM wanapenda kuwa promote watu kirahisi sana ambao hawana track record ya uzalendo.
Haya kiko wapi, hata huyo Lissu keshasahau kama anasota ‘death row’, hayo ya reforms kabla ya uchaguzi ndio kabisa kwenye kichwa cha Mwabukusi.
Yeye anahimiza watu wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Kaazi kweli kweli hawa wanaharakati uchwara. Halafu uso wake anavyoongea bashasha lazima kalamba dau nono safari hii.
Hajamdai Mdude arejeshwe?
Hata wenzenu waliamini wamekaa nae na wameelewana nae vizuri kuhusu 4R lakini kilicho wakuta hawana hamu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Hivi chadema/ukawa walipoenda ikulu ya jakaya,lissu alikuwemo?Tangu Mwenyekiti Mbowe alipokwenda ikulu kukutana na Rais aligeuka kuwa Mbowe mpya, - by Tundu Lisu.
Mzee wa kutumia Lugha Ngumu.....hahaha.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Acha uongoTLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.
Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Ikulu amesema, hoja zao zote walizomuwasilishia Rais Samia amezipokea vizuri na kwamba atazifanyia kazi.
Mwabukusi ambaye aliongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono Rais Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia muda mrefu wa zaidi ya masaa 3 kuwasikiliza na kuwapa majawabu ya baadhi ya hoja zao huku nyinginezo zikiendelea kufanyiwa kazi.
Nina wasiwasi amefika bei,hakuna mkate mgumu mbele ya chai.teAmekula vitafunwa vya ikulu akapata tabasamu la kuonesha katika TV.
Ile nyumba nyeupe ukiingia na kutoka unakuwa na tabasamu na kucheka hata kwa vitu visivyo chekesha.
Anaulizwa walichoongea, anajibu tumeongea mengi. Kila mtu anatafuta e mrija kwa namna yake
KweliiiAcha uongo
Sawa, umehongwa kiasi gani na nzi wa chooni🪰, basi hapo kesho ataamka na kuja na hoja za Watanzania tuunge mkono CCM na juhudi uchwara za Mama ili aendelee kuliibia hili taifa na watoto wake.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Hii ni habari njema, ina maana sasa kale ka simba ka Kizimkazi, kataachiwa!, minimum reforms za kanuni zitafanyika, ratiba ya uchaguzi itarekebishwa, Chadema wataingia kwenye uchaguzi?.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Wewe unawashwa hilo traako lakoAlafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.
Aje alete ushahidi usio achaa shaka wa shutuma zake!!Wanted!
MUMEGONGA MWAMBA SASA MNAKIRI KUWA SAMIA NDIE RAIS.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.
Makelele yote kumbe Mwabukusi nae anabei.
CDM wanapenda kuwa promote watu kirahisi sana ambao hawana track record ya uzalendo.
Haya kiko wapi, hata huyo Lissu keshasahau kama anasota ‘death row’, hayo ya reforms kabla ya uchaguzi ndio kabisa hayapo kwenye kichwa cha Mwabukusi.
Yeye anahimiza watu wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Kaazi kweli kweli hawa wanaharakati uchwara. Halafu uso wake anavyoongea umejawa na bashasha lazima kalamba dau nono safari hii.
Hata hawajongea mengi, wamesalimiana kwa mikono, wameketi kwenye sofa, wamekunywa jucie, wakacheka sana... wakaagana... wanakuja kutupa taarifa...Tayari.....haihitaji D mbili wala, hata F zote unaelewa tu.