Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Aug 28, 2025 #61 Smart911 said: Hata hawajongea mengi, wamesalimiana kwa mikono, wameketi kwenye sofa, wamekunywa jucie, wakacheka sana... wakaagana... wanakuja kutupa taarifa... Click to expand... Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"??
Smart911 said: Hata hawajongea mengi, wamesalimiana kwa mikono, wameketi kwenye sofa, wamekunywa jucie, wakacheka sana... wakaagana... wanakuja kutupa taarifa... Click to expand... Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 28, 2025 #62 Evelyn Salt said: Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"?? Click to expand... Kabisa... na leo tupo kawe... karibu upate tshirt na laki moja kazi yako ni kupiga vigelegele...
Evelyn Salt said: Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"?? Click to expand... Kabisa... na leo tupo kawe... karibu upate tshirt na laki moja kazi yako ni kupiga vigelegele...
Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 3,832 Reaction score 5,309 Aug 28, 2025 #63 Rabbon said: Umesahau ni mwenyekiti wa CCM taifa. Click to expand... Na mgombea Urais
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,028 Reaction score 23,380 Aug 28, 2025 #64 DuaZaMama said: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. View attachment 3455369 Click to expand... Hahahaha! BAK kama BAK au siyo, leo kawaje jamani! Upole huu na nidhamu hii kaitoa wapi? Kumbe ukiwa na hasira hautakiwi ukutane na Samia ana kwa ana atakupoza isee! BAK kutoka Ikulu kaufyata, basi Samia ana nguvu sana ya ushawishi! Ref to: Mbowe naye alivyotoka jela na kwenda Ikulu kuonana na Samia, mnakumbuku alivyobadilika ghafla na mpaka leo baada ya mkutano huo?
DuaZaMama said: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. View attachment 3455369 Click to expand... Hahahaha! BAK kama BAK au siyo, leo kawaje jamani! Upole huu na nidhamu hii kaitoa wapi? Kumbe ukiwa na hasira hautakiwi ukutane na Samia ana kwa ana atakupoza isee! BAK kutoka Ikulu kaufyata, basi Samia ana nguvu sana ya ushawishi! Ref to: Mbowe naye alivyotoka jela na kwenda Ikulu kuonana na Samia, mnakumbuku alivyobadilika ghafla na mpaka leo baada ya mkutano huo?
N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 5,450 Reaction score 4,774 Aug 28, 2025 #65 felakuti said: Angemkatalia na kadinali huyo very powerful hahahaha halaf tuone.. Click to expand... Kwani kadinali kasema nini? We unajua alichoendea?
felakuti said: Angemkatalia na kadinali huyo very powerful hahahaha halaf tuone.. Click to expand... Kwani kadinali kasema nini? We unajua alichoendea?