Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni.

Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine Zouari, kusimamia wizara hiyo kwa muda. Hakuna sababu ya kina iliyotolewa kuhusu uamuzi huo wa ghafla.

1777375245934.png

1777375492639.png

 
Back
Top Bottom