Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

Hii safi sana wadau, mjini kati treni za mwendo kasi zitakua zinapishana hadi raha, tunakokwenda panafaa....

President Uhuru Kenyatta, in a tweet by State House on Monday, announced that he would host French President Emmanuel Macron in March and establish development projects including rapid transit train.

The rapid transit train service forms part of the Kenya Railways mass rapid transport system that aims to reduce traffic congestion between Nairobi CBD and the JKIA airport.

Details of the president’s visit were given to Uhuru by Frensch ambassador Mrs Aline Kuster-Menager when she visited State House on Monday.

president_uhuru_kenyatta_with_french_ambassador_to_kenya_aline_menager.jpg
President Uhuru Kenyatta with French Ambassador to Kenya Aline Menager
The proposed train project is one among several others that the Kenyatta administration aims to accomplish in collaboration with the French government.

President Emmanuel Macron will be expected in Nairobi for a two-day official State visit in the coming month.

The ambassador was at State House to pay a courtesy call to the Head of State.

  • President Kenyatta responded by asserting that he expects the visit to be a platform for breaking ground in bilateral relations between France and Kenya.
    The two presidents will sign agreements to cover various subjects that are of mutual interests to their countries.
    “Traditionally, Kenya and France enjoy strong bilateral ties and I am pleased that we’ve continued to deepen the relations. I look forward to the visit by President Macron,” President Kenyatta proclaimed.
    Development of the rapid train service between the CBD and JKIA, in collaboration with France, will not only imply stronger relations between the two countries but a milestone in development for Nairobi.
    jkia_15.jpg
    A terminal at JKIA

New Nairobi Train to Be at Center of French President’s Visit to Kenya
Wenzenu tulishayaafanya kitambo na tulizibatiza treni za mwakyembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Macron haji kisiwa cha amani anakuja kwa alshabyb wenyewe ndio mjue KENYA sio hivi hivi afu tutawaekea mipicha mutokwe povu zaidi. Nyang'au hoyeeee!
 
Nyie kila kitu msaidiwe mbona mko kama ldc tu,uhuru kashindwa nn kukaa na bodi ya reli muijenge wenyewe?hua mnakusanya kodi za kulipana mishahara pekee?Kama mnalipwa misharaha mizuri zaidi yetu maana yake mnakusanya zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda unisaidie kuelewa ung'eng'e ulioandikwa humo, maana sijaona sehemu imesemwa kwamba tutajengewa kama msaada au kama jinsi Wajapan huwajengea nyie flyovers kama misaada.
Sasa sijaelewa unacholalamikia.
 
Waiting for Agence French Press to cover the story more intelligibly.

The gimmicky tweet by the Kenyan president and the crummy Daily Nation can not tell you what the hell they mean by “establish development projects.”

A French president can never take a junket trip to Africa to deal with a Kenyan matter such as rapid trains! How naive can we be in Africa. I thought the Kenyans are a tad more enlightened.
 
Zuma alipokuwa kwenye ziara yake Tz rais wenu alisimama mbele ya umati na akamuomba awape madawati 1,000 ya kutumika na wanafunzi wa Tz. Sio vitu vya maana kama ushirikiano baina yenu kwenye maswala ya madini au treni au mabasi ya mwendokasi, madawati! [emoji1][emoji1][emoji1] Aisee, kweli hawakukosea waliposema kwamba Tz ni kichwa cha mwendawazimu.
Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!
 
Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!

Kiherehere chenu cha kutumia raslimali zenu huko SADC hakikuwasaidia kitu maana leo hii mpo maskini wakati hizo nchi huko zinazidi kuneemeka, leo hii mumeishia kuwa omba omba huko na wazamiaji, wakianza kufukuza wageni Waafrika huwa hawajali Utanzania wala nini, wanaua chochote wanachokiita makwerekwere.
Soma hapa walivyomchinja Mtanzania kisa chuki zao kwa wageni Waafrika South Africa: Furore Over 'Xenophobic' Murder of Tanzanian Student

Ona hizi taarifa hapa mlivyofurushwa kutoka kwao http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=79712
 
Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!
Ndio mkaamua kumuomba Zuma madawati 1000? Madawati??? [emoji15] Tz inaomba South Africa madawati? Huoni kama huo ni ukichaa wa aina yake?
 
Vipi ocean block isharudishwa na wasomali?? Au wasonjo washawazidi ujanja middle income ,wakenya bwana kelele miiingi kumbe weupe tuu,sasa hivi mi bakora kwenda mbele kila mtu akale mboga nyumbani kwake hamna janja janja ndani ya EAC, Naona hata M7 hacheki na kima now days!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
France are the unsung heroes of Kenya. AFD has funded so many projects in Kenya including Ndakaini, Turkwell and many others. They have been 2nd to WB/IMF in terms of loans before arrival of Chinese. France & Japan do their things quietly but they are very focussed. If France are going to finance the Nairobi Commute rail - then it will be done.
 
Yaani HUU UZI nimesoma heading tu nikacheka nikasema ngoja ni jump into bush , mh siamini kama Macron anaweza kuja Nairobi kwa ajilikuzungumzia maswala ya Treni, wataalam wa mambo wajuavyo na wanavyo chambua mambo ni wazi kuna interest za kifaransa zimeonekana hapo Kenya, perhaps iyo speed train itakuwa favor ya ku accept interest zao kuhusu maswala ya kigaidi binafsi naamini ilo ni gumu kwa france kuwapa back up maana France ni moja ya mataifa yanayo wapa kipaumbele makoloni yake ya zamani ktk sekta ya ulinzi na maswala engine ya biashara na maingiliano ya watu kati ya France na makoloni yake ya zamani (hili halina ubishi) mifano ipo France amepeleka vikosi vyake ktk nchi kadhaa alizo zitawala Africa ili kurejesha Amani lkn huku akinyofoa rasili mali kidunchu kidunchu kuna ule msemo ukila na kipofu usimshike mkono
 
Yeah kwa watu waliozaliwa na kulelewa kwenye mfumo wa ujamaa kama wewe utashangaa kwa hili, lakini sisi hatuoni kuwa issue, ni wazi kwamba Mfaransa yupo na maslahi yake, na sisi pia tuna maslahi yetu, hivyo ni mwendo wa kila mmoja kuweka maslahi yake kwenye meza, mjifunze kitu, tatizo nyie mumezoea kuomba omba hamjui kufanya biashara na deals, mnaita kila mtu ndugu, hamjui dunia huendeshwa kimaslahi, ndio maana mpo maskini miaka yote hii japo mna kila kitu, maana zinaliwa bila ya nyie kujua jinsi ya kucheza hii michezo.
Unajua nini maana ya "Quid pro quo"
 
Back
Top Bottom