Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ni laisi labda
Mbona wote hao wameshakutana na Mr slim cha ajabu kipi hapoView attachment 1027655View attachment 1027656
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pasWewe umeona makubwa ambayo Mr. Slim amefanya kwake, kainchi kake saizi ya mkoa lakini huwa kanababaisha Bongo yote, nakumbuka ipo kipindi Watanzania walimsema sana.
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pas
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ni wazi hakuna mtu asiyetamani kuwa kati ya baadhi ya wanaoitafuna Bongo, mabeberu hawafai kuachiwa waimalize pekee yao, ndio maana unaona mpo radhi kutelekeza milima ya Rwanda ili mkajimegee kitu kwenye shamba la bibi. Kuna sehemu nilisoma wapo wengi tu ambao wamejimix hadi ni vigumu kuwabaini.
Tanzania ilmradi unasifia CCM hiyo tu imetosha Mrundi au Mkongoman kufanya atakacho. Lakini siku akijichanganya na kuhoji maovu ya utawala, atafurushwa juu kwa juu, kuna hata Watanzania asili, wazawa ambao wamewahi kuzushiwa uraia kisa walihoji.
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pas
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hao mabeberu nyie si mabwana zenu,wakija lazima mfue chupi nakuzipasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheka kinyama daahtuusan umesahau Netenyahu kopo wewe ila habari umeipata.
Na sio kenyaAcha kuongea vituko..Afadhali niishi Yemen kuliko Danganyika