Watachukuliwa mpaka wke zao we ngojaSio mfurahie tu lkn pia mkumbuke mna trillion 100 deni na mchina anataka kuchukua bandari balaa mnalolitafuta msitushirikishe yetu yanatushinda tupo nayo mdogomdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio anakuna kutafuta suruhu huko kenya... Watu hawakuwa na kaz sasa watapata ajira na malighafi watachukua...Hivi jamaa kamaliza matatizo yaliyosababisha wananchi wake waandamane?
Ndio anakuna kutafuta suruhu huko kenya... Watu hawakuwa na kaz sasa watapata ajira na malighafi watachukua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzenu tulishayaafanya kitambo na tulizibatiza treni za mwakyembeHii safi sana wadau, mjini kati treni za mwendo kasi zitakua zinapishana hadi raha, tunakokwenda panafaa....
President Uhuru Kenyatta, in a tweet by State House on Monday, announced that he would host French President Emmanuel Macron in March and establish development projects including rapid transit train.
The rapid transit train service forms part of the Kenya Railways mass rapid transport system that aims to reduce traffic congestion between Nairobi CBD and the JKIA airport.
Details of the president’s visit were given to Uhuru by Frensch ambassador Mrs Aline Kuster-Menager when she visited State House on Monday.
President Uhuru Kenyatta with French Ambassador to Kenya Aline Menager
The proposed train project is one among several others that the Kenyatta administration aims to accomplish in collaboration with the French government.
President Emmanuel Macron will be expected in Nairobi for a two-day official State visit in the coming month.
The ambassador was at State House to pay a courtesy call to the Head of State.
- President Kenyatta responded by asserting that he expects the visit to be a platform for breaking ground in bilateral relations between France and Kenya.
The two presidents will sign agreements to cover various subjects that are of mutual interests to their countries.
“Traditionally, Kenya and France enjoy strong bilateral ties and I am pleased that we’ve continued to deepen the relations. I look forward to the visit by President Macron,” President Kenyatta proclaimed.
Development of the rapid train service between the CBD and JKIA, in collaboration with France, will not only imply stronger relations between the two countries but a milestone in development for Nairobi.
A terminal at JKIA
New Nairobi Train to Be at Center of French President’s Visit to Kenya
Nyie kila kitu msaidiwe mbona mko kama ldc tu,uhuru kashindwa nn kukaa na bodi ya reli muijenge wenyewe?hua mnakusanya kodi za kulipana mishahara pekee?Kama mnalipwa misharaha mizuri zaidi yetu maana yake mnakusanya zaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzenu tulishayaafanya kitambo na tulizibatiza treni za mwakyembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!Zuma alipokuwa kwenye ziara yake Tz rais wenu alisimama mbele ya umati na akamuomba awape madawati 1,000 ya kutumika na wanafunzi wa Tz. Sio vitu vya maana kama ushirikiano baina yenu kwenye maswala ya madini au treni au mabasi ya mwendokasi, madawati! [emoji1][emoji1][emoji1] Aisee, kweli hawakukosea waliposema kwamba Tz ni kichwa cha mwendawazimu.
Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!
Ndio mkaamua kumuomba Zuma madawati 1000? Madawati??? [emoji15] Tz inaomba South Africa madawati? Huoni kama huo ni ukichaa wa aina yake?Ndio wale si tulitumia rasilimali zetu nyingi sana kuwakomboa wakati nyie mkiungana na waliokuwa wanawanyonya, kama ni waungwana lazima wawe na kuonyesha wanajali, just a portion!
Zitakuwa zinatembea hewani katika mfumo huo wa kisasa?Treni za mjini tunazo tena bora kuzidi hayo mapipa ya Mwakyembe, hapa tunaongea kuhusu mfumo mpya wa kisasa.
Mpya wa kisasa kama wa Tz au wa kwenu unatokea sayari ipi?Treni za mjini tunazo tena bora kuzidi hayo mapipa ya Mwakyembe, hapa tunaongea kuhusu mfumo mpya wa kisasa.
Yaani HUU UZI nimesoma heading tu nikacheka nikasema ngoja ni jump into bush , mh siamini kama Macron anaweza kuja Nairobi kwa ajilikuzungumzia maswala ya Treni, wataalam wa mambo wajuavyo na wanavyo chambua mambo ni wazi kuna interest za kifaransa zimeonekana hapo Kenya, perhaps iyo speed train itakuwa favor ya ku accept interest zao kuhusu maswala ya kigaidi binafsi naamini ilo ni gumu kwa france kuwapa back up maana France ni moja ya mataifa yanayo wapa kipaumbele makoloni yake ya zamani ktk sekta ya ulinzi na maswala engine ya biashara na maingiliano ya watu kati ya France na makoloni yake ya zamani (hili halina ubishi) mifano ipo France amepeleka vikosi vyake ktk nchi kadhaa alizo zitawala Africa ili kurejesha Amani lkn huku akinyofoa rasili mali kidunchu kidunchu kuna ule msemo ukila na kipofu usimshike mkono