Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

Mbona wote hao wameshakutana na Mr slim cha ajabu kipi hapo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Wewe umeona makubwa ambayo Mr. Slim amefanya kwake, kainchi kake saizi ya mkoa lakini huwa kanababaisha Bongo yote, nakumbuka ipo kipindi Watanzania walimsema sana.
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pas

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pas

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Ni wazi hakuna mtu asiyetamani kuwa kati ya baadhi ya wanaoitafuna Bongo, mabeberu hawafai kuachiwa waimalize pekee yao, ndio maana unaona mpo radhi kutelekeza milima ya Rwanda ili mkajimegee kitu kwenye shamba la bibi. Kuna sehemu nilisoma wapo wengi tu ambao wamejimix hadi ni vigumu kuwabaini.
Tanzania ilmradi unasifia CCM hiyo tu imetosha Mrundi au Mkongoman kufanya atakacho. Lakini siku akijichanganya na kuhoji maovu ya utawala, atafurushwa juu kwa juu, kuna hata Watanzania asili, wazawa ambao wamewahi kuzushiwa uraia kisa walihoji.
 
Wap miguna miguna?

Ungejua kinachowakuta wanyaru bongo ungewaonea huruma aise katika watu ambao bongo haisumbuki nao saana ni wahamiaji wa burundi maana wengi wao huishia kuwa vibarua wa mashambani
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Acha kuifananisha bongo na vitu vya ajabu karibia raia wote wa rwanda wanatamani kuishi bongo au Uganda kama wakenya mlivyo mnatamani muwe mnaingia bongo bila pas

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Acha kuongea vituko..Afadhali niishi Yemen kuliko Danganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…