Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Wakuu waganda wamejipanga kututupa nje ya afcon. Rais wa uganda yoweri kaguta museven ameitwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa leo kati ya uganda na tanzania ili kuwapa nguvu na hamasa vijana wake watufunge tena. Ikumbukwe wiki2 zilizopita tulipigwa 3-0 katika ardhi ye2. Hapa nimeshaandaa machozi, ntalia sana leo mana dalili zinaonesha hatuwezi kupindua matokeo yawe 4-0.