Rais wa Uganda kushuhudia mechi ya CHAN: Uganda vs Tanzania

Rais wa Uganda kushuhudia mechi ya CHAN: Uganda vs Tanzania

Angalau kikosi cha Mkwasa kinaonyesha uhai
Tanzania XI:
Goal Keeper: Ally Mustafa Mtinge
Outfield Players: Nadir Haroub Ali, John Raphael Bocco, Salum Shomari Kapombe, Frank Domayo Raymond, Saimon HappyGod Msuva, Kelvin Patrick Yondani, Mwinyi Haji Mngwali, Rashid Y. Mandawa, Deus Kaseke David, Abbas Mudathiri Yahya
 
Hamna hata mchezaji mmoja wa simba halafu mkwasa anataka simba wamshangilie!
 
Acha u'team...hii ni team ya Taifa cyo Kombaini fulani kwahiyo ni lazima wachezaji wa team fulani wawepo
 
Tbc wanaonyesha mechi ya waarabu badala ya taifa staz! Aya majanga
 
Azamu one mbona hatuoni mkuu au azam one yako ipi wewe mwenzetu unayotumia (au ndo hiyo ya kusema wanatangaza azam 1)

Mkuu, weka Azam one upande wa audio.Nimesema wanatangaza sio kuonesha.Kipindi cha pili kimeshaanza.
 
Hivi mnaoleta matokeo hapa, mmeyatoa wapi?? au mko uwanjani??

Mandla.
 
Back
Top Bottom