Rais wa Uganda kushuhudia mechi ya CHAN: Uganda vs Tanzania

Rais wa Uganda kushuhudia mechi ya CHAN: Uganda vs Tanzania

wakuu waganda wamejipanga kututupa nje ya afcon. rais wa uganda yoweri kaguta museven ameitwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa leo kati ya uganda na tanzania ili kuwapa nguvu na hamasa vijana wake watufunge tena. Ikumbukwe wiki2 zilizopita tulipigwa 3-0 katika ardhi ye2. Hapa nimeshaandaa machozi, ntalia sana leo mana dalili zinaonesha hatuwezi kupindua matokeo yawe 4-0.
afcon na chan hakuna tofauti?
 
Hamna hata mchezaji mmoja wa simba halafu mkwasa anataka simba wamshangilie!

Mmeanza tiyari!! hii timu ya Taifa mkuu, tuweke ushabiki wa vilabu pembeni
 
mungu saidia, mungu yupo nasi. Ila tbc2 haipo fair, 2nalipa kodi hawataki kutuonesha mpira. Wazalendo wa taifa hili bado tupo.
 
Dua ya nini?

Hivi timu ili ishinde inahitajika dua au juhudi?

Kwa TZ kwa sasa tuhanitaji juhudi zaidi. Dua tunaomba kila kukicha na waganda nao pia wanaomba dua vilevile kwa Mungu huyo huyo ambaye hana upendeleo...
 
Kiss FM live from Nakivubo stadium; stay tuned Tanzanias you may win this game but u can't qualify
 
Tuwekeeni Wazalendo updates hapa jamani
 
zote ni afcon ndugu. Tofauti ni umri2
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tu
 
Dk 38 Kipindi cha pili

Uganda wanasawazisha kupitia Robert Ssentongo
 
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tu

sio nje ya afrika. Mfano mchezaji akicheza nje ya tanzania haruhusiwi. Ni wachezaji wanaocheza ligi za ndani ya tz.
 
Back
Top Bottom