Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania 1-0
afcon na chan hakuna tofauti?wakuu waganda wamejipanga kututupa nje ya afcon. rais wa uganda yoweri kaguta museven ameitwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa leo kati ya uganda na tanzania ili kuwapa nguvu na hamasa vijana wake watufunge tena. Ikumbukwe wiki2 zilizopita tulipigwa 3-0 katika ardhi ye2. Hapa nimeshaandaa machozi, ntalia sana leo mana dalili zinaonesha hatuwezi kupindua matokeo yawe 4-0.
Tuombe dua watanzania tupite.
Hamna hata mchezaji mmoja wa simba halafu mkwasa anataka simba wamshangilie!
Dua ya nini?
Hivi timu ili ishinde inahitajika dua au juhudi?
afcon na chan hakuna tofauti?
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tuzote ni afcon ndugu. Tofauti ni umri2
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tu