Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Hii mechi itaonyeshwa na kituo gani kwa anayefahamu atujuze
Wakuu VP update
bado bila bila dk 34
Duu,tutatoka kweli
Wanatangaza Azam1 bado hakuna goli.
Ni halali wabunge wa ukawa kususia kikao cha bunge