Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Tanzania XI:Angalau kikosi cha Mkwasa kinaonyesha uhai
Hamna hata mchezaji mmoja wa simba halafu mkwasa anataka simba wamshangilie!
Azamu one mbona hatuoni mkuu au azam one yako ipi wewe mwenzetu unayotumia (au ndo hiyo ya kusema wanatangaza azam 1)
Mkuu, weka Azam one upande wa audio.Nimesema wanatangaza sio kuonesha.Kipindi cha pili kimeshaanza.
Tbc wanaonyesha mechi ya waarabu badala ya taifa staz! Aya majanga
wanatangaza na sio kuonesha??