... kuwa kwake unyoya haku-justify Urusi kuvamia nchi yake.Huyu Zele ni comedian tu.
Kelele zote hizo ni kwa vile ana nguvu za hao mabwana zake, yeye kama yeye ni unyoya tu.
Akiminywa mbupu kidogo tu unasikia akiomba vikwazo viongezwe kwa mwamba Putin.
... umeandika ukiwa na maumivi makali sana kijana; penda kuona na kusikia usichopenda - huo ndio uungwana. Pole sana.Ni kweli Ukraine ana silaha Kali mnoo ndio Maana Russia imeshindwa kuchukua maeneo huko Ukraine (Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia) na Sasa Ukraine inaekekea kuikamata Moscow,Putin anaomba msaada kwa washirika wake la sivyo Russia itatekwa yote.
Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
Kama ni kweli Ukraine imeizidi kete Urusi, iweje Ukraine itambe kwa mdomo tu badala ya kutekeleza kimya kimya kimatendo yale wanayosema wana uwezo nayo? Kupiga domo ni propaganda tu kuwapa moyo watu pale waliposhindwa kimatendo.Ni kweli Ukraine ana silaha Kali mnoo ndio Maana Russia imeshindwa kuchukua maeneo huko Ukraine (Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia) na Sasa Ukraine inaekekea kuikamata Moscow,Putin anaomba msaada kwa washirika wake la sivyo Russia itatekwa yote.
Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
Ukraine tuko vzr Sana,kwanza jeshi la urusi liliishiwa chakula likabaki na chakula Cha siku 3 tu.Nchi maskini sana ileKama ni kweli Ukraine imeizidi kete Urusi, iweje Ukraine itambe kwa mdomo tu badala ya kutekeleza kimya kimya kimatendo yale wanayosema wana uwezo nayo? Kupiga domo ni propaganda tu kuwapa moyo watu pale waliposhindwa kimatendo.
Vipi ule msafara wa tactical battalion kalibia kilometre 60 uliishia wapiUkraine tuko vzr Sana,kwanza jeshi la urusi liliishiwa chakula likabaki na chakula Cha siku 3 tu.Nchi maskini sana ile
Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
Anapenda sana mdomo mdomo.Hali za vita zinabadilika ghafla.Urusi hatakubali aendelee kukimbia kila siku.Atafika pahala atakuwa kama paka anayekimbizwa na mbwa.Akishajibanza na ukuta.Itakuwa kama kumwambia Ukraine sasa basi.Hata wananchi wa Urusi watajenga ushujaa na kuamua kuilinda nchi yao.... ila Zelensky kama kweli aliongea hivyo anaharibu. Achape kimya kimya tuone matokeo aachane na maneno na kejeli nyingi hata kama anaona ushindi uko upande wao! In short aweke akiba ya maneno itamsaidia.
Kweli kabisa mkuu . Angalia Afghanistan walikaa miaka 20 wakaondoka wenyewe .Long term war urusi atashindwa, ni vigumu sana kujilinda kila siku kwa watu wanaokushambulia.
DahNi kweli Ukraine ana silaha Kali mnoo ndio Maana Russia imeshindwa kuchukua maeneo huko Ukraine (Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia) na Sasa Ukraine inaekekea kuikamata Moscow,Putin anaomba msaada kwa washirika wake la sivyo Russia itatekwa yote.
Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
... uko sahihi ingawa kuhusu wananchi wa Urusi kujenga ushujaa kuilinda nchi yao sijakuelewa Kiongozi kwa sababu Urusi haijavamiwa; unless unamaanisha maeneo yaliyokuwa annexed tayari ni sehemu ya Urusi!Anapenda sana mdomo mdomo.Hali za vita zinabadilika ghafla.Urusi hatakubali aendelee kukimbia kila siku.Atafika pahala atakuwa kama paka anayekimbizwa na mbwa.Akishajibanza na ukuta.Itakuwa kama kumwambia Ukraine sasa basi.Hata wananchi wa Urusi watajenga ushujaa na kuamua kuilinda nchi yao.
Kihistoria Urusi imepigana vita vingi sana vikubwa na hatimae ikiwa ukingoni mwa kushindwa ikaibuka mshindi.Hivi itatokea safari hii.Tuache kumuamini Zelensky na kelele zake.Long term war urusi atashindwa, ni vigumu sana kujilinda kila siku kwa watu wanaokushambulia.
Afghanistan hadithi yake ni kama ile ya Marekani Iraq na Afghanistan kwa mara nyengine.Walitoka mbali kwenda kuvamia nchi ya mbali.Kwa Ukraine ni kitu tofauti.Adui yuko upande wa pili wa mpaka na bado anaita watu zaidi waje wakupige.Katika hali kama hii ushujaa unakuja ndani kwa ndani.Ndio naamini manene ya Putin juzi kuwa sasa wataanza kurudisha majimbo yaliyoingia mikononi mwa Ukraine.Kweli kabisa mkuu . Angalia Afghanistan walikaa miaka 20 wakaondoka wenyewe .
Afghanistan alikimbia.. Syria ni kama amewasusa saa hizi.Kihistoria Urusi imepigana vita vingi sana vikubwa na hatimae ikiwa ukingoni mwa kushindwa ikaibuka mshindi.Hivi itatokea safari hii.Tuache kumuamini Zelensky na kelele zake.