Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

Huyu jamaa ni myahudi na ana support kubwa sana ya wayahudi wenzake ambao wana technology ya haliya juu. Msisgangae akashinda hii vita. Maombi yetu kwa Mungu wa Mbinguni ni hii vita imalizike mapema maana roho nyngi za watu wasio na hatia zinateketea kutokana na huyu mtu anayeitwa Putin aliyejawa na roho ya shetani.
 
Ukraine tuko vzr Sana,kwanza jeshi la urusi liliishiwa chakula likabaki na chakula Cha siku 3 tu.Nchi maskini sana ile

Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
Hizo siku tatu mbona zimekwisha pita na bado askari wanadunda? Au mlikosea kusema siku badala ya miezi mitatu?
 
Hizo siku tatu mbona zimekwisha pita na bado askari wanadunda? Au mlikosea kusema siku badala ya miezi mitatu?
Si ndio Maana Russia anapigwa mwanzo mwisho,Jana Ukraine kidogo ipachukue pale St. Petersburg, Russia Kama sio msaada wa wanajeshi kutoka Iran na North Korea Basi Russia ingetekwa mkuu.

Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
 
... ila Zelensky kama kweli aliongea hivyo anaharibu. Achape kimya kimya tuone matokeo aachane na maneno na kejeli nyingi hata kama anaona ushindi uko upande wao! In short aweke akiba ya maneno itamsaidia.
Huyo ni Amiri jeshi mkuu lazima awatie morali wapiganaji wake.
 
Duh,
Ni kweli Ukraine ana silaha Kali mnoo ndio Maana Russia imeshindwa kuchukua maeneo huko Ukraine (Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia) na Sasa Ukraine inaekekea kuikamata Moscow,Putin anaomba msaada kwa washirika wake la sivyo Russia itatekwa yote.

Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine.
Unaongea ukiwa umetumia kilevi gani
 
... ila Zelensky kama kweli aliongea hivyo anaharibu. Achape kimya kimya tuone matokeo aachane na maneno na kejeli nyingi hata kama anaona ushindi uko upande wao! In short aweke akiba ya maneno itamsaidia.
Yeye ni Rais, anajua kuliko wewe
 
Anapenda sana mdomo mdomo.Hali za vita zinabadilika ghafla.Urusi hatakubali aendelee kukimbia kila siku.Atafika pahala atakuwa kama paka anayekimbizwa na mbwa.Akishajibanza na ukuta.Itakuwa kama kumwambia Ukraine sasa basi.Hata wananchi wa Urusi watajenga ushujaa na kuamua kuilinda nchi yao.
Kwa sasa mko on defence
 
Back
Top Bottom