Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

Wahehe wanamsemo usemao"ukiona kicheche anajigamba ujue karibu yake kuna shimo analolitegemea kujificha" kwa mantiki hiyo ukraine anajiamini kwa kuwa anaona ana View attachment 2378739mzigo wa kutosha wa siraha na ujasusi.View attachment 2378738
UK kwa sasa si mshirika wa kuaminika.Agange njaa yake kwanza kabla kuifikiria Ukraine.Iko karibu kuwa taifa la tatu.Hawaeleweki kabisa.
 
Huyu Zele ni comedian tu.
Kelele zote hizo ni kwa vile ana nguvu za hao mabwana zake, yeye kama yeye ni unyoya tu.
Akiminywa mbupu kidogo tu unasikia akiomba vikwazo viongezwe kwa mwamba Putin.

Mkuu kama Zele ni komedian tu basi ni komedian wa karne kwa kusimama ma watu wake.
Ingekiwa mjinga mwingine angekuwa tayari anakula kuku Us na nchi ingekuwa mikononi mwa wanywa gongo kitambo.
 
Kwani nani alieatuma kuvamia nchi ya watu.
 
Slava Ukraine [emoji1255] [emoji813]
 
Putin aanapenda vita ilikuonyesha ubabetu lakini hanafaida na hiyo vita.

Anakosea kusema atakomboa majimbo kwasababu majimbo sio yake.
 
Mkuu kama Zele ni komedian tu basi ni komedian wa karne kwa kusimama ma watu wake.
Ingekiwa mjinga mwingine angekuwa tayari anakula kuku Us na nchi ingekuwa mikononi mwa wanywa gongo kitambo.
Huo ndo uzalendo tunaoimba kila siku
 
... ila Zelensky kama kweli aliongea hivyo anaharibu. Achape kimya kimya tuone matokeo aachane na maneno na kejeli nyingi hata kama anaona ushindi uko upande wao! In short aweke akiba ya maneno itamsaidia.
Anafundishwa cha kufanya ili Putin apandwe na mashetani afanye haraka haraka mipango yake wamchape kimkakati.
 
Ahahahaaaaaaa mkuuu nimekuelewa
 
Na hapo buza mmeshafanikiwa kuwarudisha warusi nyuma,katika maeneo yao waliyoyatoa hata kuwa yao😂
 
Urusi hana silaha hana jeshi kabaki na makaratasi tu aliyoweka sign, Mrusi zama zake zimeisha na wasiwas wangu huenda US wakamtia shaba huko huko mafichoni Moscow au kunshika akiwa hai na kumfungulia mashtaka ya mauaji
 
Alisikika mjinga mmoja..
 
Urusi hana silaha hana jeshi kabaki na makaratasi tu aliyoweka sign, Mrusi zama zake zimeisha na wasiwas wangu huenda US wakamtia shaba huko huko mafichoni Moscow au kunshika akiwa hai na kumfungulia mashtaka ya mauaji
Putin anatakiwa kunyongwa kama Sadam kwa madhila aliyoleta duniani.
 
Huyu Zele ni comedian tu.
Kelele zote hizo ni kwa vile ana nguvu za hao mabwana zake, yeye kama yeye ni unyoya tu.
Akiminywa mbupu kidogo tu unasikia akiomba vikwazo viongezwe kwa mwamba Putin.
Urusi nae ni unyoya tu ndio maana kaivamia ukraine unyoya mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…