Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy awafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi

Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy awafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi

Ukraine akifanya mabadiliko kwenye safu ya usalama mnadai kaishiwa ila mnasahau hata Russia kafanya mabadiliko kwenye safu yake ya ulinzi ,haya ni mambo ya kawaida kwenye vita ,vita haviitaji watu legelege ,
 
Media zenyewe wameshachoka kumtangaza siku hizi habari ni joto tu ulaya kweli dunia inaenda kwa kasi sana na ukiona habari imechuja haina mvuto ujuwe muda wako unaisha wale ni wafanya biashara tu nadhani sasa ndio ataita maji meee
 
Ukraine akifanya mabadiliko kwenye safu ya usalama mnadai kaishiwa ila mnasahau hata Russia kafanya mabadiliko kwenye safu yake ya ulinzi ,haya ni mambo ya kawaida kwenye vita ,vita haviitaji watu legelege ,
Hawaelewi nchi ikiwa kwenye vita hakuna kamanda anatakiwa kuongoza vita kutoka mwanzo hadi mwisho kuna shift
 
Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov.

Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazin
Atafukuza mpaka mkewe maana mambo yameshakua hali jojo
 
Ngoja wampindue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukraine akifanya mabadiliko kwenye safu ya usalama mnadai kaishiwa ila mnasahau hata Russia kafanya mabadiliko kwenye safu yake ya ulinzi ,haya ni mambo ya kawaida kwenye vita ,vita haviitaji watu legelege ,
Mind you kawafukuza na sio kufanya mabadiliko ya Amani usijitoe akili Kuna tofauti kubwa ya kufanya mabadiliko ya Amani na kuwafukuza watu ambao una washutumu kuwa ni waasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom