Lakini ni Rais wa Ukraine toa Crimea, toa Lugansk, toa Donesk, toa ......, Orodha inaendeleaMbona mlishasema ajiandae toka kitambo? But to our surprise Zele bado ni Ukrainian president
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni Rais wa Ukraine toa Crimea, toa Lugansk, toa Donesk, toa ......, Orodha inaendeleaMbona mlishasema ajiandae toka kitambo? But to our surprise Zele bado ni Ukrainian president
Crimea hakuikuta hayo mengine Vita bado haijaisha aluta continua .....Lakini ni raisi wa Ukraine toa Crimea, toa Lugansk, toa Donesk, toa ......, Orodha inaendelea
Ujumbe umefikaAsali hailiwi, inalambwa kiongozi!
Aisee we jamaa wewe unatufikiriajeKumbuka Putini amebadilisha walinzi wake zaidi ya mara 8 kwa kudhani wanatumika ukitoa ile mara moja ambayo alinusurika kuwawa na hao hao walinzi wake
Wengine wanajiongeza silaha zenyew wanauza[emoji41][emoji41][emoji41]Makamanda wengi wa Ukraine wameanza kumchoka Zelensky
Hii fukuza fukuza ndio kajikaanga na mafuta Yake mwenyewe [emoji26]Makamanda wengi wa Ukraine wameanza kumchoka Zelensky
nakufikiria nini weka vizuri hoja yakoAisee we jamaa wewe unatufikiriaje
Ukifukuzwa kazi una siri gani sababu vingi vyaweza badilishwa siku unaondokaHaohao aliowafukuza watamfanyia kitu mbaya pamoja na kutoa siri kwa Russia
Hawaelewi nchi ikiwa kwenye vita hakuna kamanda anatakiwa kuongoza vita kutoka mwanzo hadi mwisho kuna shiftUkraine akifanya mabadiliko kwenye safu ya usalama mnadai kaishiwa ila mnasahau hata Russia kafanya mabadiliko kwenye safu yake ya ulinzi ,haya ni mambo ya kawaida kwenye vita ,vita haviitaji watu legelege ,
Atafukuza mpaka mkewe maana mambo yameshakua hali jojoRais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov.
Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazin
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waafrika mpo waongo sana..ndo maana hatuendelei..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee we jamaa wewe unatufikiriaje
Mind you kawafukuza na sio kufanya mabadiliko ya Amani usijitoe akili Kuna tofauti kubwa ya kufanya mabadiliko ya Amani na kuwafukuza watu ambao una washutumu kuwa ni waasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukraine akifanya mabadiliko kwenye safu ya usalama mnadai kaishiwa ila mnasahau hata Russia kafanya mabadiliko kwenye safu yake ya ulinzi ,haya ni mambo ya kawaida kwenye vita ,vita haviitaji watu legelege ,