Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akubali kuipa Marekani madini yake adimu ili iendelee kupata ulinzi

UKo sahihi kabisa...Ila na sisi tumeuza Bandari ya Dar es Salaam, Bagamoyo nayo IMO mbioni, baadhi ya maeneo ya mbuga za Wanyama na baadhi ya migodi...una la kusema Ndugu?! Zelensky kashikwa pabaya, na sisi je?
 
Lengo lilikuwa kupambania uhuru wa nchi yao kujiamulia mambo ya kufanya na sio kuamuliwa na Russia.
Kwa kiongozi kwenye uelewa na kwa ukubwa wa Russia alitakiwa awe ameelewa hili linalotokea mapema Sana na kulizuia. Madhara ya vita ni makubwa Sana kuliko uhuru aliokuwa anautafuta
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndo zenu hizo, blah blah tu, jibu nilichouliza, kuleta blah blah tu hapa bila jibu ni ishara ya umbumbumbu wako.
Hakuna cha maana ulicholeta kinachohitaji kujibiwa, badala yake tunakuelimisha ili utanue upeo wako juu ya maswala ya siasa za kimataifa.
 
Hakuna cha maana ulicholeta kinachohitaji kujibiwa, badala yake tunakuelimisha ili utanue upeo wako juu ya maswala ya siasa za kimataifa.
🤣🤣🤣 umeamua kuendelea na blah blah! jibu hili kwanza blah blah! si deal
"mzee putin na familia yake yeye ni nani wa kumpangia mzee zelensky na familia yake aishije, ashirikiane na nani na asijiunge nani!!"

kama hujui jibu sema sijui, blah blah sio jibu😄😄😄😄
 
Ndio keshampangia, utafanyaje sasa?
 
kenge kama nyie hamuwezi kuyaona makosa ya jambazi Putin aliyevamia taifa la watu ila mnaona makosa ya mwathiriwa aliyevamiwa na anajitahidi kujitetea
Majambazi ni mengi Sana hapa duniani, aidha upambane nayo uyashinde au uingie nayo makubaliano yasiyoumiza taifa lako.

Kosa ni kutaka kupambana na jambazi kwa kutegemea msaada kutoka kwa majambazi wengine kama marekani.
Kabla ya kuleta kiburi zelesky alitakiwa awe na uhakika na wanaompa kiburi kutomgeuka au wapo tayari kumpelekea wanajeshi wao na vifaa na sio kumpelekea mamluki.
 
Unakubali kuingia kwenye vita na jambazi ambaye ni jirani yako kwa kutegemea msaada kutoka kwa jambazi mwingine ambaye yupo mbali na wewe.
Matokeo yake umepigika,jambazi aliyekuwa anakusaidia naye anakumalizia kwa kukufanyia ujambazi
 
Mbona BBC and CNN walikua wanasema Ukraine wanashinda?
 
Kama unafikiri kama hivi, naomba nikupe pole wewe na watu wanaokutegemea
 
Kama hali ndiyo hiyo Tanzania tukae kama tunanyolewa, kuna majirani wanaweza kulianzisha kwa makusudi mazima
 
Kwa mtu yeyote alieweza kusikiliza au kuangalia ule mkutano aisee dharau ya western hasa most powerful countries zile body expression zilivyojaa dharau juu ya Ukraine na anavochukuliwa eti EU wamhakikishie ulinzi 😏. Next stop will be DRC ngoja waiweke Ukraine kibindoni then will see what's next.
 
Mkuu there's always mtu wa kukujaza na anakuwa na influence ya kukujaza na hakika lazima ujae, hata asingekuwa Boris somebody else angemjaza. Ndio maana Bladmir Putin saa zote anakuwa na machale kama anauza bange. Wazungu ni watu waovu sana wakiamua jambo lao.
 
Ww mwenye fikra ndefu tuambie kulikuwa na haja gani ya zere kungangania kujiunga na Nato?
Sina fikra ndefu za kumkosoa mtu akiipigania Nchi yake yaani unafikia kimkosa mtu aliambiwa kuwa apande ndege akimbie ili Putin achukue kila kitu kweli wewe upo sawa kweli maana nimekosoa hoja yako ya kusema kwa nini aliamua kupigana vita wakati Putin alisema anachukua Nchi kwa siku tatu na leo ni mwaka wa tatu tunaenda Ukraine wapo mbali sana ukiona Nchi wanatengeneza drones wakiwa vitani harafu sisi tuwakosoe hatuna vita ila hakuna cha maana tunagundua zaidi ya kuambiwa tunapunguziwa misaada na kuanza kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…